Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Suali safi limenikumbusha kijiji kimoja hapa Tz wana kosa maji safi ya kunywa ila gongo inapatikana kila siku tena kwa wingi.Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana
Roketi wanatengeneza wenyewe na kufadhiliwa na washirika waoNilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Tanzania yetu unao uiona hapa ina zahanati nyingi hazina dawa na madakitari ila hamna kituo cha police au Askari anae kosa Ak 47, maanake hatuko kwenye vita, ila panadoh zina kosekana lisasi hazikosekani.Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Sasa huko Gaza Hamas wanajilinda dhidi ya nani??Tanzania yetu unao uiona hapa ina zahanatu nyingi hazina dawa na madakitari ila hamna kituo cha police au Askari anao kosa Ak 47, maanake hatuko kwenye vita, ila panadoh inakosekana ila lisasi hazikosekani.
Katika taifa lolote ulizi ni muhimu kuliko chakula mkuu
Wako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.Sasa huko Gaza Hamas wanajilinda dhidi ya nani??
Pesa za Chakula ndio hizo HAMAS wa brazaj wanazitumia kutengeneza roketi na mahandaki.
Mngekuwa na akili mngekubaliana tu Jordan, Lebanon, Iran, Misri na mataifa mengine ya uarabuni wawagawane na wawachukue Wapalestina.Wako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.
Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inatokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-dateWako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.
Mngekuwa na akili mngekubaliana tu Jordan, Lebanon, Iran, Misri na mataifa mengine ya uarabuni wawagawane na wawachukue Wapalestina.
Palestina is lost cause.
Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inayokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date
Na itaendelea hivyo mpaka haki itakapopatikana. Waliouliwa baba zao, mama zao ndugu zao ndiyo watakuwa wapigania uhuru wao kesho, Haijalishi hizo propoganda za kuwaita magaidi su sio hizo ni mbinu tu za ukandamizaji. Wao wenyewe wanaua kila mahali juzi juzi tu Iraq bila sababu.Ukizaliwa tu Gaza automatically unakua mpiganaji
Wewe unajiona una akili hamas kamatieni hapo hapoMngekuwa na akili mngekubaliana tu Jordan, Lebanon, Iran, Misri na mataifa mengine ya uarabuni wawagawane na wawachukue Wapalestina.
Palestina is a lost cause.
1948 israhell ilivamia palestina hatimae mateso kwa wapalestina yapo kila leoHivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inayokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date
Ghaza ipiProjects zao za miaka 20 ya ujenzi wa Tunnels zimeishia kuharibiwa bila mafanikio na wamezidi kupoteza uthibiti wa eneo lote la Gaza