Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

Mkuu tafadhari niambie umri wako na kiwango chako cha elimu kwasbb nashindwa hata kukujibu.....
 
Projects zao za miaka 20 ya ujenzi wa Tunnels zimeishia kuharibiwa bila mafanikio na wamezidi kupoteza uthibiti wa eneo lote la Gaza
Kuna kamanda wa jeshi la Israel alipata kusema " Gaza zipo mbili, Kuna Ile ya chini ya ardhi na inayoonekana"
Kutokana na ulinzi mkali na ufuatiliaji wa hari ya juu wapelestina wakaja na jibu la kutengeneza underground tunnels ambazo zinaunga Gaza na Egypt kupitia mji wa Rafah na Kuna tunnels zinaiunga Gaza na kusini mwa Lebanon.
Hata kama Kuna vita lakini wananchi wa Gaza wanaendelea kupata mahitaji mbalimabali kupitia hizi tunnels. Siraha, chakula, mavazi na zinawafikia Hamas kupitia njia za chini ya ardhi.
Hizi underground tunnels zipo chini ya wanamgambo wa Hamas ambao hukusanya Kodi kupitia wafanyabiashara ambao hutumia hizi njia za chini.
 
Kama Israeli wanafunga mipaka ili chakula na maji visiwafikie Wapalestina,hizo silaha tu ndiyo zinaruhusiwa kupita kuwafikia Wapalestina?
 
Mngekuwa na akili mngekubaliana tu Jordan, Lebanon, Iran, Misri na mataifa mengine ya uarabuni wawagawane na wawachukue Wapalestina.
Palestina is a lost cause.
Nani atakayekubali kupokea vibaka wenye fujo na kutaka kutawala hadi wenyeji wao?Wabaki humohumo wauone moto.
 
Hicho ndio mnachotaka waisrael wa vikundu pamoja na B.N lkn limeshafeli maana hata Raisi wa Misri alilisema mwanzo kabisa.
Ulaya kwa sasa wanajuta kuwakaribisha watu wasio na heshima kwa wenyeji wala utulivu wa nafsi.Wanapaswa waende kwa wasafi wenzao wa Uarabuni au wanaofanana nao.
 
Basi,ni vema wabakie humohumo na si kwenda nchi za wengine na kujianzishia masharti yao.

Walikuarifu wanataka kutoka.??
Hawa ndio watu wa msimamo na baada ya miaka 80 ya wateule kurudia ufisAdi wao ipo siku yatawapata kama historia yao ilivyoonyesha.
 
Walikuarifu wanataka kutoka.??
Hawa ndio watu wa msimamo na baada ya miaka 80 ya wateule kurudia ufisAdi wao ipo siku yatawapata kama historia yao ilivyoonyesha.
Maswali gani ya kiboya wewe?Uzi unajadili nini kwani?
 
Ulaya kwa sasa wanajuta kuwakaribisha watu wasio na heshima kwa wenyeji wala utulivu wa nafsi.Wanapaswa waende kwa wasafi wenzao wa Uarabuni au wanaofanana nao.

Watoto wateule walishafukuzwa huko ulaya mara 1035 na ujerumani ikaua million sita mwaka 1939-1945. Mbona huna macho?
 
Mkuu Kitakuta Salam.
Hao waliovamia Palestina katika ya mwaka 1937 - 1945 walitoka taifa gani? Ninavyojua mipaka ya sasa iliyo rasmi ya taifa LA Israel ilikuwa haijarasimishwa.
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…