Nchi nyingi za ulaya magharibi walikuja Palestine. Waingereza wakoloni wakiitawala Palestine walisha set mipango tangu 1920 Balfour declarationMkuu Kitakuta Salam.
Hao waliovamia Palestina katika ya mwaka 1937 - 1945 walitoka taifa gani? Ninavyojua mipaka ya sasa iliyo rasmi ya taifa LA Israel ilikuwa haijarasimishwa.
Ahsante
Nchi nyingi za ulaya magharibi walikuja Palestine. Waingereza wakoloni wakiitawala Palestine walisha set mipango tangu 1920 Balfour declaration
[/QUOTE
Kwa maelezo yako hapa, unakiri kwamba waliovamia Palestina kwenye kipindi tajwa hawakutoka taifa LA Israel.Nchi nyingi za ulaya magharibi walikuja Palestine. Waingereza wakoloni wakiitawala Palestine walisha set mipango tangu 1920 Balfour declaration
Kwa maelezo yako hapa, unakiri kwamba waliovamia Palestina kwenye kipindi tajwa hawakutoka taifa LA Israel.
Israel haikuwepo kabla ya 1948. Ilikuwa Palestine. Wavamizi wakaitwaa kwa kutumia ugaidi wa hali ya juu wakisaidiwa na mkataba waliokubaluana na waingereza ndio kuundwa hiyo kwa kuwafanya wakimbizi. Hao Gaza ni wakimbizi waliokuwa wakiishi huko mnakopaita Israel
Pesa za Chakula ndio hizo HAMAS wa brazaj wanazitumia kutengeneza roketi na mahandaki.
Hiyo nayo ni namna nzuri ya kukwepa kujibu swali. Unashindwaje kujibu swali rahisi kama hilo mkuu? Umri na elimu yangu vina uhusiano gani na swali. Tusijaze server za JF kwa kurefusha mambo. Lini Israel aliwahi kwenda kuanzisha vita na Palestinians bila kuchokozwa? Simple as thatMkuu tafadhari niambie umri wako na kiwango chako cha elimu kwasbb nashindwa hata kukujibu.....
Hiyo ni miujiza yao pekee,wanajua wanaye adui,ila hawajui lini chakula kitakosekanaNilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Mihela waliyowekeza kujenga mihandaki wangeiwekeza kwenye sekta za kiuchumi na miundombinu wangekuwa zaidi ya Doha.Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Mmeanza kututafuta waromboSuali safi limenikumbusha kijiji kimoja hapa Tz wana kosa maji safi ya kunywa ila gongo inapatikana kila siku tena kwa wingi.
Rockets ndio uhai wa ardhi yao kwa sasa utegemee wazikose tena
Kama manyanyaso yataendelea 7/10 ni must kurudiwa tena na hamas walisema hivyo walipokua wakisherehekea hio 07/10 juziMihela waliyowekeza kujenga mihandaki wangeiwekeza kwenye sekta za kiuchumi na miundombinu wangekuwa zaidi ya Doha.
Ila kwa kichapo walichokipata sidhani vita ikiisha watarudia tena kosa la 07/10
Kama manyanyaso yataendelea 7/10 ni must kurudiwa tena na hamas walisema hivyo walipokua wakisherehekea hio 07/10 juzi
Wewe mwenyewe pesa ya kununua chakula huna, lakini umepata wapi pesa ya kununua bando la intanetiNilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Kwa hio hawa washirika wanafadhili roketi tu na sio pamoja na chakula?Roketi wanatengeneza wenyewe na kufadhiliwa na washirika wao
Kuchukua nchi gani wakati eneo lolote lilichukuliwa na Israel 1967.Wako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.
Priority tu, ni kama hapa Tanzania tu, pesa za kununua wapinzani na machawa tunazo, ila vyoo vya shule tunajengewa kwa msaada wa watu wa MarekaniNilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.