Ukiona hivyo ujue wewe una hitilafu ambayo hutaki kuikubali.Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lisu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona jana ACT wazalendo walikuwa mubashara ITV?Wewe utakuwa. MNYARWANDA ndo maana umeposti huu UHARO. Ni mgeni kiasi kwamba you know nothing about most of TANZANIAN mass media. KANYE V.I.MA haraka 😂😂🤣🤣
Kama alivo makondaNdio maana wataendelea kuwa viongozi vivuli
Haya mapinzani ya hoovyo kabisa,
Mwl. Nyerere alituachia legacy ya uzalendo kwanza.
Haya mapinzani yametanguliza pesa kuliko utu wetu
Huwezi kuzuia wazungu kukutawala.hata apo ulipo mpaka chupi ya mkeo ni made in britain.chungulia uioineWatakuwaje wajinga wakati elimu ni bure.
Fanya kazi achana na mambo yakwenda kwa wazungu kujidhalilisha
Haya mapinzani ya hoovyo kabisa,
Mwl. Nyerere alituachia legacy ya uzalendo kwanza.
Haya mapinzani yametanguliza pesa kuliko utu wetu
Kwamba Chadema mnashindwa kushawishi media za ndani?!Ni kwasababu media za ndani zinazima mic Lissu akiongea.
Mbona huzungumzi TBC hao ITV hukuona ubabaishaji waliokuwa naoVyombo gani vimebana. Lissu na Zitto jana walikuwa mubashara ITV au unazungumzia vyombo gani bwashee?
Wazungu wale wanajua Kiswahili kuliko wenyeji wao mpaka mtangazaji wa media mashughuri nchini aliyekuwa kwenye mapokezi akajiuliza kwa sauti kama ni Wachaga. Kunani kila ndege kutoka kwa mabeberu ikitua KIA viongozi wetu na Media wanakuwepo kuwapokea wasafiri kwa mbwembwe?Mexicana, siku hizi kila ndege ikitoka kwa Wazungu na kutua KIA, mh. Waziri wetu wa utalii anatupa taarifa ya idadi ya wazungu!! Wazungu ni wazuri kuliko ‘WAJUMBE’!
Media za ndani zimejazwa hofu na CCMKwamba Chadema mnashindwa kushawishi media za ndani?!
Mambo mengine muulize Mzee Mgaya kabla hujaleta huku Bwasheeeeeeee!!!!Sasa Tundu Lisu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.