Bila Shaka we ni mzigua au mdigo? Wivu tu unqkusumbuaYani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
ππππMtoa mada Kama sio mbondei Malaya Basi atakua mganga wa kizigua.
Mtoa mada atakuwa hajawahi kupanda gari moja na Wasukuma, au Wamasai!ππππ Tate Mkuu
Ni ushamba vipi hutaki ujulikane wewe msambaa au mgogo?Ni ushamba
Yani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
Tate Nane