Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna uvumilivu zaidi ya upumbavu tu, unaruhusi bongo fleva kanisani unasema uvumilivu, kuku weUvumilivu wetu unawapa kichwa Hawa wapumbavu, niishie hapa kwa leo.
hakuna dini nyingine tofauti nauisilamu mkuu.au umezaliwa jana nini mkuu?wenzako hawaja kwambia?dini niuislamu tuuu.Wa imani tofauti na nyie
Me Mkristo lakini dini yetu inachezewa sana, Yani binti anaingia kanisani suruali imembana au unakuta kavaa kimini kabisa daaah!!!! Wakristo hasa wadada badilikeninyie wakiristo mbona wanawake zenu nadada zenu wanaingia kanisani navichupi?🤣🤣🤣dah hakuna dini hapo njooni kwenye uislamu. huko mmepoteaaaaaaaaaaaaaa tokeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii
huyo nimjingatu.ndioana komenti yenyewe kaitoa kiuwoga woga.hawajiamini washike lipi nawaache lipi.Hamna uvumilivu zaidi ya upumbavu tu, unaruhusi bongo fleva kanisani unasema uvumilivu, kuku we
PITA HUKUSiku zote mwanadamu aliyesoma na kuelimika, hufanya maamuzi yake kwa kutumia akili! Ila yule bumunda ambaye hajaelimika, ndiyo hukimbilia kwenye matumizi ya nguvu, kama silaha yake kuu.
Bila shaka umenielewa.
hakuna dini nyingine tofauti nauisilamu mkuu.au umezaliwa jana nini mkuu?wenzako hawaja kwambia?dini niuislamu tuuu.
dah.allahu akbar.mkuu unajielewa sana tena sana.miminakushauri hama huko hakunadini.njoo kwenye uokovu/uisilamu.hao wanao kuja kanisani navimini wanakuja kutafuta mabwana hawana lolote wakimbieeee mkuuuMe Mkristo lakini dini yetu inachezewa sana, Yani binti anaingia kanisani suruali imembana au unakuta kavaa kimini kabisa daaah!!!! Wakristo hasa wadada badilikeni
asante kwakunielewa usiku mwema kiongoziSawa mkuu
Uislam umeruhusu mashairi bila beat, Ila mashairi yawe ya kumpendeza muumba, ndio maana mtume Muhhamad alisema kupiga madufu kwa waislam ni miongoni mwa mambo ya kipumbavuSio Qaswida tuu, Adhana ni muziki ambao ni unison, hata wakati wa swala zile Aya zote wanaimba. Nina uwezo wa kuzichora nota zake ambao melody ya kuzitamka Aya izo wakati wa ibada inafanana na ile ya kilatini kilichokuwa kinatumika kwenye ibada za kikristu zamani ( Gregorian chant)
Yaani wao ndio wanategemea kuimba kuliko dini yoyote. Hata kikariri kwao vifungu vya Quran huko madrasa ni kwa njia ya kuimba. Labda hawajui nini maana ya kuimba, wimbo, melody nk, waliosoma muziki miongoni mwao hawawezi kusema hilo
Na ushahidi uliwekwa akasingizia kompyuta, yule bibi kilazaWangeandamana kuchoma moto nyumba, kumbuka kipindi cha 2012 walivosema ndalichako kawafelisha
Walevi peponi! Haujaangalia clip vizuri?Walevi wao wanasemaje...!? Siwasikii kulalamika.
Tulia weweeeWakiristo siku hizi wanataka kubalance kila kitu hadi madhambi! 😀😀
Sasa akiweka na Sheikh hiyo ndo itaondoa ukweli kuwa kuna mapadri matapeli?
Si ajabu msanii muislamu akitengeneza wimbo kulaani Kibwetere alivyowachoma moto waumini kanisani kuna Wakiristu wafia dini watachukia Utadhani Ukiristo unaruhusu mambo ya Kibwetere!
Kwanini wasanii waislam hawawatolei mifano wao?Wale walio enda Arusha kwa nabii ni watu gani? Kuunga mkono tattoos hata wasipo onekana kwenye video za wasanii Haina maana kuwa wao hawana mapungufu . Ukweli nikwamba tunaishi nao na mapungufu Yao tunayaona ..over!
Naunga mkono hoja, hawawezi hata siku moja kuleta mzaha mwenye uislam. Wao mzaha huleta kwenye ukristo tuAngeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
Mbaya zaidi serikali inawachekea... inaboa zaidi ni wasanii tena waislamu... je hawatumiki vibaya kuharibu image ya imani za wenzao?Naunga mkono hoja, hawawezi hata siku moja kuleta mzaha mwenye uislam. Wao mzaha huleta kwenye ukristo tu
Ustaadhi anakutana wapi na wanawake awapapase?, Huko wanasali vyumba tofauti,,, hakuna habari ya shehe kukaa na mwanamke eti anamfanyia maombi,,,Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko