Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
Kuna ustaarab na upumbavu, kuruhusu bongo fleva kufanya video kanisani sio ustaarab Bali ni upumbavu, wakristo jitafakarini kama mnachofanya ni ustaarab
 
Hatuenendi kwa mwili bali kwa roho. Tunamwabudu Mungu katita Roho na kweli. Hawa wenzetu kwa kuwa wako kimwili zaidi ndio maana ukiwasema kidogo tu wanakuua au kukuchomea nyumba.
Acha uzwazwa wewe
 
Utofauti wa dini hizi mbili unaonekana wazi Uislaam sio dini ya maigizo Ukristo ni dini ya maigizo ndio maana ni rahisi kuitumia kwenye maudhui
 
🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🤣huna hata nguvu zakuongea kifupi hujiamini.
SIO KWAMBA SINA NGUVU NINAZO SANA , UISLAMU NI MOJA YA DINI AMBAYO INAMAFUNDISHO AMBAYO, YANAPELEKEA MTU KUWA NA MSIMAMO MKALI SANA.
NIMEISHI NA WAISLAMU SANA TUU NAWAJUA VIZURI TENA SANA.
HATA VITABU VYA KIISLAMU NIMEVIONA VINGI.
SO NI DINI AMBAYO NINAIJUA VIZURI SANA TENA SANA .
TENA SIO HAPA NIMEISHI HATA NCHI ZA KIISLAMU, MAMBAYO KARIBU INCHI MZIMA NI WAISLAMU ,
SO NAIFAHAMU SANA DINI YA KIISLAMU.
TOFAUTI HATA WEWE UNAVYONIDHANIA MKUU,
NINAUHAKIKA HATA NCHI ZA KIISLAMU HUJAWAHI KUISHI.
NINAJUA VIZURI SANA TENA SANA.
 
Kitabu chakiislamu nikimoja wee chizi.quran tu.hivyo vitabu vingi nivipi?
 
SIO KWAMBA SINA NGUVU NINAZO SANA , UISLAMU NI MOJA YA DINI AMBAYO INAMAFUNDISHO AMBAYO, YANAPELEKEA MTU KUWA NA MSIMAMO MKALI SANA.
NIMEISHI NA WAISLAMU SANA TUU NAWAJUA VIZURI TENA SANA.
HATA VITABU VYA KIISLAMU NIMEVIONA VINGI.
SO NI DINI AMBAYO NINAIJUA VIZURI SANA TENA SANA .
TENA SIO HAPA NIMEISHI HATA NCHI ZA KIISLAMU, MAMBAYO KARIBU INCHI MZIMA NI WAISLAMU ,
SO NAIFAHAMU SANA DINI YA KIISLAMU.
TOFAUTI HATA WEWE UNAVYONIDHANIA MKUU,
NINAUHAKIKA HATA NCHI ZA KIISLAMU HUJAWAHI KUISHI.
NINAJUA VIZURI SANA TENA SANA.
hama huko gizani.kichwa ngumu wewe??? 🤣🤣🤣
 
Wakristo wa sasa hivi wamejaa upumbavu na mafundisho feki kuhusu dini yao. Hata Yesu mwenyewe alikuwa hataki mzaha kabisa na mambo ya imani yake. Aliwafukuza watu waliokuwa wanafanya biashara hekaluni bila kujali lolote. Wakristo wa sasa wangesema Yesu hajali haki za binadamu wala wananchi wanyonge. Sio Yesu tu hata kina Musa, Daudi, Joshua na wengine wa kwenye biblia walikuwa hawataki upumbavu linapokuja suala la imani yao.

Waislamu ninawapongeza kwa kuifundisha dini yao vizuri kwa watoto pia kwa kukataa kuchezewa imani yao. Hata wanaoabudu mizimu hawawezi kukubali uwachezee.

Wakristo tuache ujinga.
Ukweli mchungu
 
🤣🤣🤣ukiristo siodini mkuu kwahio wasanii wakiimba kanisani usishangae Wala dulamakabila alicho fanya nikawaidatu kwakua ukiristo niusanii kushinda huo usanii wadula makabila😂😂.ukiristo nikikundi chakukusanya sadakatu hamna kingine chamaana.🤣🤣🤣.uisilamu hauchezewi nanyau yeyote..mmeelewa?au??????????????????????
Kesho naenda kukojoa msktn
 
Back
Top Bottom