Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Naunga mkono hoja, hawawezi hata siku moja kuleta mzaha mwenye uislam. Wao mzaha huleta kwenye ukristo tu
Sijaona mtu akileta mzaha kwenye Ukiristo, ila mimeona mtu kakemea uovu

Sasa kama unadhani Utapeli ndiyo Ukiristo wenyewe basi hapo huyo bwana kakosea kuukemea utapeli huo.

Ila kama Ukiristo siyo Utapeli, basi huyo kijana alipaswa Kupongezwa na Wakiristo kwa kuusema ukweli ili matapeli hao wanaotapeli kwa kitumia jina la Ukiristo waache mambo yao mabaya.
 
Ustaadhi anakutana wapi na wanawake awapapase?, Huko wanasali vyumba tofauti,,, hakuna habari ya shehe kukaa na mwanamke eti anamfanyia maombi,,,
Ila maustadhi wa vyuo baadhi ndio wanafanya dhambi na watoto wa vyuo
Watoto wanaolawitiwa hukutana nao wapi? Hivi kuna watu washarati kama hao?
 
Sijaona mtu akileta mzaha kwenye Ukiristo, ila mimeona mtu kakemea uovu

Sasa kama unadhani Utapeli ndiyo Ukiristo wenyewe basi hapo huyo bwana kakosea kuukemea utapeli huo.

Ila kama Ukiristo siyo Utapeli, basi huyo kijana alipaswa Kupongezwa na Wakiristo kwa kuusema ukweli ili matapeli hao wanaotapeli kwa kitumia jina la Ukiristo waache mambo yao mabaya.
Angekemea huo uovu kwa uislam ingekuaje? Na kwanini hawakemei huo uovu kwa uislam?
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakristo ni kupiga goti na kumwambia Mungu aangalie huo upuuzi, kisha MUNGU katika roho hutoa adhabu yeye mwenyewe, wakati mwingine vitu vingine hupaswi kutumia nguvu za mwili Bali katika roho.
 
Ile kushoti video walipata baraka kutoka kwenye uongozi,nahisi viongozi walipomuona msanii Diamond wakajua shida zao zote zitaisha kupitia kwake,Kwamaana ile video walitumia siku nzima kushuti
Yaani kwakweli ni huzuni. Hizi njaa hizi 😥
 
Kwanza Usialamu unakataza mziki kuwa ni haramu,yaani kiufupi tu ikitokea hata yule mwenye kutunza funguo ya msikiti umwambie muigizie msikitini hawezi kubali ujinga huo,Kitu unavyokiheshimisha ndivyo kinavyopata thamani yake
Lakini wakipelekewa pesa zinazotokana na muziki wanapokea, licha yakuwa mziki ni haramu inakaaje hapo?
 
Uislam umeruhusu mashairi bila beat, Ila mashairi yawe ya kumpendeza muumba, ndio maana mtume Muhhamad alisema kupiga madufu kwa waislam ni miongoni mwa mambo ya kipumbavu
Kwa hiyo Acapella sio muziki?
 
Lakini wakipelekewa pesa zinazotokana na muziki wanapokea, licha yakuwa mziki ni haramu inakaaje hapo?
Ndo yale yale ya Diamond kutokunywa pombe ati dhambi lakini anafanya usharati tena anaona sifa na kampuni ya betting juu!!
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.

Nadhani wameona hakuna reaction kwa upande wa wakristo hivyo wameamua kufanya wanavyojiskia.
 
Kwani alichosema ni dhambi au ni uongo, kwamba watumishi wote ni wasafi hawafanyi dhambi?
Kwenye sanaa ukihusisha dini inabidi utambue tofauti ya dini ambayo Mungu anapiganiwa na wanadamu dhidi ya dini ambayo wanadamu hawana uwezo wowote wa kumtetea, kumlinda wala kuhukumu kwa niaba yake.

Kuna Mungu wa dini moja yeye asipotetewa sijui inakuaje, ila kuna Mungu ambaye wanaomuamini hajaagiza wamtetee. Anayo maelfu ya malaika wanaimba kwaya wapo bure tu na wana nguvu sasa yanini kujitia ujuaji. Utajuaje labda ni mpango wa Mungu aimbe hivi ili wahusika wajirekebishe?

Kwanini mchungaji?. Na sio sheikh wa dini yake?. Tusitete ujinga kwa mgongo kwamba katumwa na Mungu. Tangu lini muimba singeli akatumiwa na Mungu?. Acha upotoshaji
 
Sidhani kama kweli waliingia kanisani kufanya video shooting. Inawezekana na mazingira waliyoyatengeneza kwa kufanana na kanisa ndio wakafanya hiyo shooting.
Mimi sio mfuatiliaji wa secular music though!

Sio usidhani, walishoot ndani ya kanisa na Cha kushangaza Hadi na kwaya kabisa wakiimba wimbo wa wewe ni mwema. Zuchu na uchafu wake wote ni wa kwenda kufanya dhihaka kanisani?. Mtu anaimba matusi lakini kaona kanisani ndipo pakufanyia dhihaka?. Kwanini asiende msikitini?.
 
🤣🤣🤣ukiristo siodini mkuu kwahio wasanii wakiimba kanisani usishangae Wala dulamakabila alicho fanya nikawaidatu kwakua ukiristo niusanii kushinda huo usanii wadula makabila😂😂.ukiristo nikikundi chakukusanya sadakatu hamna kingine chamaana.🤣🤣🤣.uisilamu hauchezewi nanyau yeyote..mmeelewa?au??????????????????????

Kama sio dini Ni Nini?
 
Upumbavu mlianza wenyewe kuchezea na kuweka kipande cha yesu yule jamaa ..Ambaye bado kundi kubwa la wajinga wanaamini ndo yesu.
Kuwapa watu vyeo vya unabii wakati ni washamba tu kwamba ni manabii level za yesu😂😂😂😂

👉Jiheshimu uheshimike !!

Wewe mbona ujiheshimu?. Nani alikuambia watu wanaamini mcheza filamu ndio Yesu?. Mnajitungia mambo na kilazimisha yawe kweli. Yani mtu acheze filamu, halafu watu waamini huyo ndio Yesu, kawadanganye wengine. Kuna filamu za Yesu zimechezwa zaidi ya 10, sijui unaongelea ipi.
 
Na hapa ndo mnapokosea,, hata ukiingia kanisani na nguo nusu uchi kisingizio ni hiki,, kwa kifupi dini yenu nyie wenyewe ndo mnaanza kuichezea mpaka kupelekea na wengine. Yani unakuta mpaka waigizaji mashoga wanaruhusiwa kuingia kanisani kufanya uigizaji wao, kitu ambacho kwa waislam hakiwezi kufanyika. Kipindi cha nyuma nakumbuka pale msikiti wa mtambambani kinondoni akipita mwanamke mbele ya msikiti na vinguo vyake vya ajabu, viboko lazima vimuhusu. Yani disprin kwenda mbele.

Hao ni wakristo wanafiki, wakristo wakweli hawaruhusu ujinga Kama huo.
 
Back
Top Bottom