econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Acha upotoshaji, wakristo hawajawahi kuvamia marekani, Bali marekani ilikuwa koloni la uingereza .
Hakuna aliye kasirika bali unatakiwa kujibu swari.
Kama mungu wenu ahitaji usaidizi hilo kanisa unalo salia limejegwa na mungu?
Au hiyo biblia unayo tumia kumuabudu yy ndo anekununulia?
Bila roma kusimama kidete kuutetea huo ukristo kwa panga siunge sambatishwa na Ottoman?
Bila wakristo kulivamia bara la amerika na kuuwa mamilion ya wahindi wekundu kungekuwepo dini ina itwa ukristo barani Amerika?