smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
ukristo unachezewa kwasababu hauna chombo maalum cha kuudhibiti, kuusimamia na kuusemea.Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
leo wataibuka wachungaji toka kundi A kukosoa jambo fulani, keshokutwa wataibuka wachungaji toka kundi X kuunga mkono jambo ambalo limetoka kukosolewa na wachungaji wa kundi A. mbaya zaidi watakuja na vifungu vya biblia kuthibitisha.
miaka ya nyuma viongozi wa kikatoliki walikuwa imara sana kuusemea na kuutetea ukristo, kauli zao zilikuwa ndio ultimatum bila kujari madhehebu yote ya kikristo.
ila tangu makanisa ya kilokole yaliposhika hatamu na walipojitokeza viherehere kama akina gwajima, ni kama wameuacha ukristo ujipambanie wenyewe.