Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Pepo gani mnazungumzia?Pepo mpaka yesu arudi mzee iyo ndo sheria ya Mungu baba kama yeye kidume afufuke....... ila cha kushangaza mnaleta dharau huku ukweli mnao kabisa yaani bila jesus hakuna kutoboa kiumbe chochote