Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Na niniyi si ndio mmezidi kihere here cha kupenda nyimbo zao za kikaswida kaswida!

Nyie ndio wa kwanza kupagawa na mapepo ya muziki wao kwa nini wasiwadharau?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
Makanisa gani yatoe tamko na wimbo wenyewe hawajauona?

Unadhani wakristo wa kweli wanafuatilia huo ushetani?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aisee wimbo mzuri sana ila namshauri Dulla Makabila auedit atoe vipengele ambavyo basata wameona vina ukakasi kisha waupeleke hewani ,ingawa sijaona kosa sana katika ujumbe ,wapo kweli "Mapasta" wanaojifanya watu wa dini sana ila wanakula kondoo ,tumeona sana kwa "Mkono wa Baunsa" ,tumeona kwa "Mzee wa Efatha" ,tumeona "Mlevi wa Nyagi" ,tumeona Mzee wa Maji/Mafuta akizaa nje,tumeona Katortoise akiiba mali za waamini wake mifano ni mingi.
 
Ah! Mbona poa tu, sasa wewe mdini, ndio unataka great thinker nao wajadili huo udini wako, sisi hatuna muda na hayo mambo ya ulevi wenu wa dini.
 
Kwanini wasanii waislam hawawatolei mifano wao?
Majibu yametolewa juu apo,kwamba kusakamwa na hao viongozi wa hiyo dini, sasa sipo hapa kutetea upuuzi unaofanywa na wakristo,lakin pia inawezekana nikutekeleza kilichopo kwenye katiba,kuwa Kuna uhuru wa kujieleza na kuweka bayana maoni . Ndio maana viongozi wa kikristo wapo tuu wakiendelea kushuhudia haya ...over!
 
Hata kwenye huu uzi hautawaona.
 
Sikupenda tu cast ya alieigiza kama pastor kuwa kama na kakiduku kichwani ila context ya mashairi aliyotumia sikuona shida maana pastors kama hao wapo na hata kwenye nyimbo za gospel wanaimbwa
...Ila Mashehe Kama Hao Hakuna, na Wao Waonyeshwe katika Video???
 
...Tatizo, Shule!....
 
...Tatizo, Elimu....!
 
halafu ilemuvi yayesu kwani ntie wakiristo yule niyesu kweli?nyie niwajinga sana.yesualikua mzungu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah mjemsikitini tuwaombee dua.
....Elimu...Elimu...Elimu....Elimu!...Alisikika Mheshimiwa mmoja akisisitiza Watu Kusoma ili Kutoa Ujinga!...[emoji846]
 
...Mjinga anapoowasa anaodhani kuwa ni Wajinga Kuacha Ujinga!...[emoji846]
 
Kuna yule mwimba singelialiimba "Kadem kangu kalokole kakilewa kanahubiri..."

Waislam tuna nongwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…