Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
Na niniyi si ndio mmezidi kihere here cha kupenda nyimbo zao za kikaswida kaswida!

Nyie ndio wa kwanza kupagawa na mapepo ya muziki wao kwa nini wasiwadharau?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
Makanisa gani yatoe tamko na wimbo wenyewe hawajauona?

Unadhani wakristo wa kweli wanafuatilia huo ushetani?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aisee wimbo mzuri sana ila namshauri Dulla Makabila auedit atoe vipengele ambavyo basata wameona vina ukakasi kisha waupeleke hewani ,ingawa sijaona kosa sana katika ujumbe ,wapo kweli "Mapasta" wanaojifanya watu wa dini sana ila wanakula kondoo ,tumeona sana kwa "Mkono wa Baunsa" ,tumeona kwa "Mzee wa Efatha" ,tumeona "Mlevi wa Nyagi" ,tumeona Mzee wa Maji/Mafuta akizaa nje,tumeona Katortoise akiiba mali za waamini wake mifano ni mingi.
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
Ah! Mbona poa tu, sasa wewe mdini, ndio unataka great thinker nao wajadili huo udini wako, sisi hatuna muda na hayo mambo ya ulevi wenu wa dini.
 
Kwanini wasanii waislam hawawatolei mifano wao?
Majibu yametolewa juu apo,kwamba kusakamwa na hao viongozi wa hiyo dini, sasa sipo hapa kutetea upuuzi unaofanywa na wakristo,lakin pia inawezekana nikutekeleza kilichopo kwenye katiba,kuwa Kuna uhuru wa kujieleza na kuweka bayana maoni . Ndio maana viongozi wa kikristo wapo tuu wakiendelea kushuhudia haya ...over!
 
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.

Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.

Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala msikiti ukionekana popote pale.

Hata ule wimbo wa Zuchu aliona bora akafanyie mzaha kanisani kuliko msikitini!

Hivi ni kwanini hawa wasanii waislam huwa hawapendi au hawafanyii dhihaka dini yao?

Nafikiri kwakua ni waislamu wangekua na mengi zaidi yakuigizia dini yao kuliko kuwadhihaki wakristo.

Ni watu wa hovyo sana na nitashangaa BASATA isipochukua hatua kali this time.
Hata kwenye huu uzi hautawaona.
 
Sikupenda tu cast ya alieigiza kama pastor kuwa kama na kakiduku kichwani ila context ya mashairi aliyotumia sikuona shida maana pastors kama hao wapo na hata kwenye nyimbo za gospel wanaimbwa
...Ila Mashehe Kama Hao Hakuna, na Wao Waonyeshwe katika Video???
 
Upumbavu mlianza wenyewe kuchezea na kuweka kipande cha yesu yule jamaa ..Ambaye bado kundi kubwa la wajinga wanaamini ndo yesu.
Kuwapa watu vyeo vya unabii wakati ni washamba tu kwamba ni manabii level za yesu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117]Jiheshimu uheshimike !!
...Tatizo, Shule!....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiristo siodini mkuu kwahio wasanii wakiimba kanisani usishangae Wala dulamakabila alicho fanya nikawaidatu kwakua ukiristo niusanii kushinda huo usanii wadula makabila[emoji23][emoji23].ukiristo nikikundi chakukusanya sadakatu hamna kingine chamaana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].uisilamu hauchezewi nanyau yeyote..mmeelewa?au??????????????????????
...Tatizo, Elimu....!
 
halafu ilemuvi yayesu kwani ntie wakiristo yule niyesu kweli?nyie niwajinga sana.yesualikua mzungu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah mjemsikitini tuwaombee dua.
....Elimu...Elimu...Elimu....Elimu!...Alisikika Mheshimiwa mmoja akisisitiza Watu Kusoma ili Kutoa Ujinga!...[emoji846]
 
Wakristo wa sasa hivi wamejaa upumbavu na mafundisho feki kuhusu dini yao. Hata Yesu mwenyewe alikuwa hataki mzaha kabisa na mambo ya imani yake. Aliwafukuza watu waliokuwa wanafanya biashara hekaluni bila kujali lolote. Wakristo wa sasa wangesema Yesu hajali haki za binadamu wala wananchi wanyonge. Sio Yesu tu hata kina Musa, Daudi, Joshua na wengine wa kwenye biblia walikuwa hawataki upumbavu linapokuja suala la imani yao.

Waislamu ninawapongeza kwa kuifundisha dini yao vizuri kwa watoto pia kwa kukataa kuchezewa imani yao. Hata wanaoabudu mizimu hawawezi kukubali uwachezee.

Wakristo tuache ujinga.
...Mjinga anapoowasa anaodhani kuwa ni Wajinga Kuacha Ujinga!...[emoji846]
 
Kuna yule mwimba singelialiimba "Kadem kangu kalokole kakilewa kanahubiri..."

Waislam tuna nongwa sana
 
Back
Top Bottom