Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

waisilamu tunajiamini na tunaogopwa nawasio jiamini(wakiristo)
 
Wahovyo ni wanaochezewa au wasiochezewa kwenye Dini yao?

Naona umeanzisha thd kwa hasira mpaka makalio yanakutingishika hovyo.
Matusi yanini sasa? Umefurahishwa na kitendo cha jamaa? Angeigiza jinsi maostadhi wanavyolawiti watoto wenu miskitini ungefurahi?
 
ukiristo sio diniii nikikundi chawakusanya sadakatu.
Tatizo lenu mkiishiwa hoja ni maneno ya kashfa na matusi. Tafuta maana ya kuimba halafu ulinganishe na mnavyoghani mashairi ya kitabu chenu. Nasisitiza Adhana huimbwa, Qaswida huimbwa, na sura zinazotamkwa huimbwa kwa melody tofauti tofauti
 
Kwasababu mziki ni haram katika uislam endapo uislam utahusishwa kivyovyoye kwenye mziki ni lazima itazua taharuki kubwa hivyo ndo uislam ulivyoweka misingi yake, ndo maana mtu kabla ya kufanya anapata hofu na anabadilishia mawazo yake kwa kutumia upande wa pili
Qaswida sio mziki au unamaanisha nini?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mungu amekufa naaka fufuka.ukiristo siodiniiiiiiiiii
Wew unajua mtume muhamad anasubir huruma ya Jesus kufufuka......yaani wew na mim pamoja na mtume Mudy tupo kundi moja ......hatuna tofauti
 
Wew unajua mtume muhamad anasubir huruma ya Jesus kufufuka......yaani wew na mim pamoja na mtume Mudy tupo kundi moja ......hatuna tofauti
ndio mkuu ila yeye ashaahidiwa pepo kabla hajafa.
 
Kwanza Usialamu unakataza mziki kuwa ni haramu,yaani kiufupi tu ikitokea hata yule mwenye kutunza funguo ya msikiti umwambie muigizie msikitini hawezi kubali ujinga huo,Kitu unavyokiheshimisha ndivyo kinavyopata thamani yake

Mziki ni haramu ila tukiesema tuangalie idadi ya wasanii wa bongo fleva (wabana pua , mashoga maarufu, waigizaji hasa wali watoa connections) wengi ni waislamu. Na kama haitoshi haohao wanaofanya mauchafu hayo, mara kadhaa wamingia msikitini na kupiga kutafuta publicity...hiyo imekaaje?

Wachinjeni basi hao wasanii na mashoga au muwazuie kuingia misikitini ili tujue mpo serious.

UJINGA UJINGA TU.
 
ndio mkuu ila yeye ashaahidiwa pepo kabla hajafa.
Pepo mpaka yesu arudi mzee iyo ndo sheria ya Mungu baba kama yeye kidume afufuke....... ila cha kushangaza mnaleta dharau huku ukweli mnao kabisa yaani bila jesus hakuna kutoboa kiumbe chochote
 
wakiristo mungu hafi wala mungu haonekani.ilikuaje paka munguwenu akateswa nabinadamu Hadi akafa🤣🤣🤣??? hivi mnauhakika ataweza kubeba zambi zenu🤣🤣🤣ikkiwa alishindwa kujiokoa mwenyewe????? Acheni uzwazwa nyie wakiristo
 
Pepo mpaka yesu arudi mzee iyo ndo sheria ya Mungu baba kama yeye kidume afufuke....... ila cha kushangaza mnaleta dharau huku ukweli mnao kabisa yaani bila jesus hakuna kutoboa kiumbe chochote
Pepo gani mnazungumzia?
 
Back
Top Bottom