Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana

ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori.

Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu,

  • vita vya wao kwa wao haviishi
  • Huduma za kijamii zipo chini sana
  • umasikini uliokithiri
  • njaa
  • elimu duni
  • jeshi dhaifu mno
  • serikali imevurugika
  • n.k.
 
Hata kwao walikua na maendeleo kabla ya Vita, Mogadishu ni Empire kubwa ya biashara ambayo imedumu kwa muda mrefu sana, vita vikiisha na amani ikirudi watatupita fasta tu
 
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana

ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.

Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya kuzidi Burundi,
wale ni wakish ndg yangu sio wabantu wamependeleaa akili kuliko sisi
 
Vita wamepigana kwa miaka mingi toka niko mdogo nasikia amka na BBC kimenuka mogadishu sasa maendeleo watapataje hapo
 
Amani katika Nchi yao bado kuna utulivu mda wowote kinawaka
 
Bila ya Amani ni vigumu kupata maendeleo
 
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana

ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.

Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya kuzidi Burundi,
Kule wote wajuaji, hawawezi kaa zizi moja.
 
Hata kwao walikua na maendeleo kabla ya Vita, Mogadishu ni Empire kubwa ya biashara ambayo imedumu kwa muda mrefu sana, vita vikiisha na amani ikirudi watatupita fasta tu
kuna nchi nyingi Africa zipo vitani ila zina afadhali
 
Afadhali kivipi? Maana vice versa is true,

Kuna Nchi kibao zina Amani na Uchumi wake umepitwa na Somalia

Mfano Madagascar, Burundi, South Sudan, Afrika ya kati, Msumbiji, Niger, etc.

Somalia na Nigeria Gdp per capita zimetofatiana kidogo mno, Somalia ni $770 na Nigeria $870, moja nchi ambayo hata kutawalika haitawaliki nyengine ni nchi yenye mafuta mengi zaidi Africa.
 
Kwa kina bro Hamza,ila kiukweli watu wenye pua ndefu kama mimi ni watata sana.Huwa tunapenda vita tu ni kama asili yetu.
 
[QUOTE="dudus, post: 52718465, member: 382
Kwanini hakuna amani? Kuna nchi imewavamia?
[/QUOTE]
duh kama hujui somalia kuna nini,basi tena
 
Ni kawaida kwa wahamiaji kuwa wachakarikaji. Walebanon kwa nimasikini lakini waliosambaa duniani ni matajiri sana.
 
Lebanon si masikini, kaangalie Gdp per capita yao sometime wanawazidi hadi south Africa. Ni uchumi wa Kati wa juu wale.
 
Afadhali kivipi? Maana vice versa is true,

Kuna Nchi kibao zina Amani na Uchumi wake umepitwa na Somalia

Mfano Madagascar, Burundi, South Sudan, Afrika ya kati, Msumbiji, Niger, etc.

Somalia na Nigeria Gdp per capita zimetofatiana kidogo mno, Somalia ni $770 na Nigeria $870, moja nchi ambayo hata kutawalika haitawaliki nyengine ni nchi yenye mafuta mengi zaidi Africa.
Yaani upo serious kabisa unailinganisha Nigeria na Somalia nchi ambayo ipo level za Burundi, are you OK ?

Somalia serikali imevurugika wamepitwa hata na Burundi kwenye administration

Somaia jeshi lao ni hohe hahe linatia huruma sana

Somalia huduma za kijamii zipo chini mno

Kuna tatizo kubwa sana la ajira vijana wanaishia kula miraa, kuvamia meli, kuhama nchi, n,k,

n.k.
 
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana

ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.

Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu,

  • vita vya wao kwa wao haviishi
  • Huduma za kijamii zipo chini sana
  • umasikini uliokithiri
  • njaa
  • elimu duni
  • jeshi dhaifu mno
  • serikali imevurugika
  • n.k.
Sehemu yoyote dini ya kislam ilipokita mizizi hakunaga maendeleo,ni upuuzi ujinga na umasikini.
 
Yaani upo serious kabisa unailinganisha Nigeria na Somalia nchi ambayo ipo level za Burundi, are you OK ?

Somalia serikali imevurugika wamepitwa hata na Burundi kwenye administration

Somaia jeshi lao ni hohe hahe linatia huruma sana

Somalia huduma za kijamii zipo chini mno

Kuna tatizo kubwa sana la ajira vijana wanaishia kula miraa, kuvamia meli, kuhama nchi, n,k,

n.k.
We si umeongelea uchumi uzi wako? Hizo ndio data za Uchumi za sasa

Nenda Gdp per capita sort low to high utaona.
 
Back
Top Bottom