Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

Adui ya Wasomali ni Magaidi ya Kiislamu,Wasomali wanatakiwa waachane na hiyo Dini.
 
Sehemu yoyote dini ya kislam ilipokita mizizi hakunaga maendeleo,ni upuuzi ujinga na umasikini.
indonesia? malaysia? qatar,uae? acha kushambulia dini usiyoijua hizo nchi za america kusini zote ni za wakristo mbona zina umaskini wa kutupwa
 
Wote wanacheza 2000 hadi 5000. Masikini tu.
Kenya Toka ipate Uhuru hata 3000 hawajawahi gusa, wamejitahidi sana ni $2000

Income zinakua categorised kama hivi

-$1100 kushuka hawa ni low income
-$1100 mpaka $4500 hawa ni lower middle income
-$4500 - $14,500 hawa ni upper middle income
-$14,500 kuendelea ndio uchumi mkubwa.

So nchi ukifika $4500 kupanda tayari ni upper middle, kipato Chao kwa Africa ni level za South Africa, Morocco, Egpty etc.
 
Afadhali kivipi? Maana vice versa is true,

Kuna Nchi kibao zina Amani na Uchumi wake umepitwa na Somalia

Mfano Madagascar, Burundi, South Sudan, Afrika ya kati, Msumbiji, Niger, etc.

Somalia na Nigeria Gdp per capita zimetofatiana kidogo mno, Somalia ni $770 na Nigeria $870, moja nchi ambayo hata kutawalika haitawaliki nyengine ni nchi yenye mafuta mengi zaidi Africa.
We unaweza kulinganisha UAE na USA ukasema UAE imepitwa kidogo sana na USA.

Elimu ya uchumi siyo kwa kila abdul!
 
Kenya Toka ipate Uhuru hata 3000 hawajawahi gusa, wamejitahidi sana ni $2000

Income zinakua categorised kama hivi

-$1100 kushuka hawa ni low income
-$1100 mpaka $4500 hawa ni lower middle income
-$4500 - $14,500 hawa ni upper middle income
-$14,500 kuendelea ndio uchumi mkubwa.

So nchi ukifika $4500 kupanda tayari ni upper middle, kipato Chao kwa Africa ni level za South Africa, Morocco, Egpty etc.
Lebanon ni masikini. Hivi karibuni serikali yao ilikuwa karibu kufirisika. Kinachowaokoa ni remittances. Kama tu Somalia inavyookolewa remittances.
 
We unaweza kulinganisha UAE na USA ukasema UAE imepitwa kidogo sana na USA.

Elimu ya uchumi siyo kwa kila abdul!
Per capita basis yes, hawana utofauti sana, there is a reason Ukiwa Raia wa UAE unaingia Nchi 185 visa Free na Usa Ni 186, sababu Individual wana Uchumi mkubwa na ni benefit kwa Raia wake kutembelea Nchi husika.
 
Lebanon ni masikini. Hivi karibuni serikali yao ilikuwa karibu kufirisika. Kinachowaokoa ni remittances. Kama tu Somalia inavyookolewa remittances.
Kuwa na Failed Government haimaanishi individual na raia ni masikini Gdp per capita haidanganyi.
 
Raia masikini. Per capita ya 2000- 3000 inayotegemea pesa wanazitumiwa na ndugu zao walioko ughaibuni ni umaskini.
 
-Tanzania Export 6.8B idadi ya watu 60M roughly 113 USD export per capita

-Kenya Exports 7.3B idadi ya watu million 55 roughly 132 USD export per capita

-Lebanon Exports 3.8B idadi ya watu 5.3M roughly 716 USD export per capita.

So si kweli wanategemea misaada ya Dispora kila criteria ya Uchumi wametuacha mbali Tu,
 
Wote masikini. Tumezidiana tu umasikini. Nchi kama Israel inayouza zaidi ya mara kumi yetu ndiyo unaweza sema siyo maskini.
 
Sehemu yoyote dini ya kislam ilipokita mizizi hakunaga maendeleo,ni upuuzi ujinga na umasikini.
Uongo.
Mbona Dubai,Qatar,Brunei,Egypt ni waislamu na ni matajiri.
Nigeria pia ni nchi ya kiislamu na huwa iko 3 bora nchi tajiri Africa ikipokezana kijiti na South Africa.
 
Back
Top Bottom