wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
wale ni wakish ndg yangu sio wabantu wamependeleaa akili kuliko sisiMfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya kuzidi Burundi,
kwao hakuna amaniMfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya kuzidi Burundi,
Kule wote wajuaji, hawawezi kaa zizi moja.Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya kuzidi Burundi,
Kwanini hakuna amani? Kuna nchi imewavamia?kwao hakuna amani
kuna nchi nyingi Africa zipo vitani ila zina afadhaliHata kwao walikua na maendeleo kabla ya Vita, Mogadishu ni Empire kubwa ya biashara ambayo imedumu kwa muda mrefu sana, vita vikiisha na amani ikirudi watatupita fasta tu
Afadhali kivipi? Maana vice versa is true,kuna nchi nyingi Africa zipo vitani ila zina afadhali
Lebanon si masikini, kaangalie Gdp per capita yao sometime wanawazidi hadi south Africa. Ni uchumi wa Kati wa juu wale.Ni kawaida kwa wahamiaji kuwa wachakarikaji. Walebanon kwa nimasikini lakini waliosambaa duniani ni matajiri sana.
Yaani upo serious kabisa unailinganisha Nigeria na Somalia nchi ambayo ipo level za Burundi, are you OK ?Afadhali kivipi? Maana vice versa is true,
Kuna Nchi kibao zina Amani na Uchumi wake umepitwa na Somalia
Mfano Madagascar, Burundi, South Sudan, Afrika ya kati, Msumbiji, Niger, etc.
Somalia na Nigeria Gdp per capita zimetofatiana kidogo mno, Somalia ni $770 na Nigeria $870, moja nchi ambayo hata kutawalika haitawaliki nyengine ni nchi yenye mafuta mengi zaidi Africa.
Unapotosha nani alikuwaambia wakushi wanaakili kuliko wabantuwale ni wakish ndg yangu sio wabantu wamependeleaa akili kuliko sisi
Sehemu yoyote dini ya kislam ilipokita mizizi hakunaga maendeleo,ni upuuzi ujinga na umasikini.Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ hali zao kiuchumi zipo vizuri hupendelea biashara za usafirishaji kwa malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu,
- vita vya wao kwa wao haviishi
- Huduma za kijamii zipo chini sana
- umasikini uliokithiri
- njaa
- elimu duni
- jeshi dhaifu mno
- serikali imevurugika
- n.k.
We si umeongelea uchumi uzi wako? Hizo ndio data za Uchumi za sasaYaani upo serious kabisa unailinganisha Nigeria na Somalia nchi ambayo ipo level za Burundi, are you OK ?
Somalia serikali imevurugika wamepitwa hata na Burundi kwenye administration
Somaia jeshi lao ni hohe hahe linatia huruma sana
Somalia huduma za kijamii zipo chini mno
Kuna tatizo kubwa sana la ajira vijana wanaishia kula miraa, kuvamia meli, kuhama nchi, n,k,
n.k.