Hii itatuchelewesha sana kufikia maendeleoTatizo letu tunaridhika mapema mno. Mtanzania akishakuwa na uhakika wa kula mlo wa siku husika amemaliza kazi , kesho ni mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo linapokua ni swala la watu wengi, ukisema saa 2 kuna watu watafika hiyo saa 2 kweli, halafu ndio wanaanza kukaa saa nzima wakiwasubiri wengineMbongo ukiwa una miadi nae SAA 3 basi wewe mwambie saa mbili....
Usimwambie muda kamili wa kukutana nae.
Kutokufata muda ni tatizo la utamaduni.
Kufuata muda na taratibu ni utamaduni
Hakuna Haraka Afrika .tuliaTunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!"
Wewe unawahi saa tatu kasoro dakika 5 unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu hata mmoja. Unaanza kusubiri... saa tatu kamili, saa tatu na dakika 10, saa tatu na nusu.... saa nne!
Ndio watu wanaanza kujitokeza mmoja mmoja huku ikijichekesha chekesha "Ooh unajua bana mambo mengi asubuhi..." Sasa si mngesema tukutane saa nane?
Hivi kweli Waafrika tutaweza mambo serious kama swala la muda tu linatushinda!
Hahaha nilitegemea kukutana na comment kama hii.Wanajifariji na msemo wa 'There Is No Hurry In Africa' !!!
Bongo nyoso ndugu yanguYaani ukiwa mtu wa kwenda na muda utakua unagombana na watu kila siku.
Wengi hawana usafiri bongo, miundo mbinu mibovu, maeneo wanayokaa wabongo wengi ni chokoromageni hayo ni baadhi ya matatizo makubwa mengine watajazia... halafu mtoa mada acha ushamba na uzumbukuku utafikiri ulizaliwa ulaya.. kwani ulizaliwa ndani ya muda?Tunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!"