Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

Mleta mada utakuwa umefanya msaada mkubwa sana endapo utaweka link ya namna ya Ku apply hizo kazi ....na kama vp mwongozo mzima wa namna ya kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: THT
Mleta mada utakuwa umefanya msaada mkubwa sana endapo utaweka link ya namna ya Ku apply hizo kazi ....na kama vp mwongozo mzima wa namna ya kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tatizo hamtembelei site za ajira za nje/kimataifa pale japan baada ya lugha za kimataifa kuwa tatizo nchini mwao sasa wanakimbizana kwa kasi ili watu wao wajue lugha za kimataifa na serikali ikafadhiri mpango wa kuanzishwa kwa site ambazo zitakuwa zinatoa matangazo ya ajira na kuaajiri wageni kwa ajili ya kufundisha lugha nchini mwao mojawapo ni hii
WORK JAPAN Co., Ltd itembelee utaona
 
Nirahisi kusema kuliko, nadhan mtoa mada hajui akisemacho. izo fursa maybe kuzipata ukiwa kula ila sio ntumie pesa kusoma izo course bila kua na uwakika wa kazi, mfano hyo ieltl ina kikomo mda ukipita imeexpire, na inasomwa kwa purpose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndo haupo serious, [emoji23]
😀😀😀 utakuwa hauko serious kabisa mkuu, mimi ndalichako nilimuacha akiwa katibu wa NECTA na wala sikuwahi kujua kama ni waziri wa elimu kwa sasa na hata sijawahi kumsikia popote akiongea
wewe ndo haupo serious, ukute unajua waziri wa elimu mungai [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kama ni hivi ngoja nimshtue dogo
labda mfumo wa elimu sio mzuri kwani maarifa yote wangepata chuoni . Ama interview inatuangusha. pm
Tatizo watanzania hatupendi kujiongeza utakuta mtu ana nafasi kubwa tu ya kuongeza maarifa ili baadaye ayatumia kama mtaji lakini haitumii kabisa mpaka anazeeka kaa
 
Mtu unaweza kuomba tatizo namna ya kufika huko yani hiyo michakato ya kupata tu passport ndani ya nchii hii utafikiri unaomba kazi full kuzungushana . Mbaka mtu unashangaa . ukweli mambo mengine ndani ya hii nchi yanachukiza kweli kweli.
 
Watanzania wengi ni Washamba tu

Ni watu wa kukariri kulingana na nature ya elimu yetu, hawana Exposure na ni waoga wa kuthubutu.

Wanajali starehe zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vijamaa vyenye macho madogo ni vichumia tumbo havikupi dili kabisa badala yake vinakuja kukusanya coins zetu milioni 200

siyo kweli ,hebu jaribu kukaanavyo uviulizie?
 
Una link hapo ya kuombea nafasi Japan??
 
Matatizo yetu sisi kama taifa ni makubwa mno. Mfumo wetu wa Elimu kwa namna na kiasi kikubwa hautuandai kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa sasa. Hautuandai kushindana katika ngazi za kimataifa. Muda wetu mwingi, wengi wetu ni majungu, umbea, betting hatwendi zaidi ya hapo.
 
Katika nchi chache za Ulaya na USA nilipoishi Wakenya ndio wakalimani wa kiswahili, kuna siku nilienda mahali nikajifabya cjui English wakanipa dada mmoja wa Kikenya anitafasirie, yaani kilichokua kinasemwa na anachoniambia vilikuwa vitu tofauti. Nikamkataa then nikawaambia ukweli
 
Katika nchi chache za Ulaya na USA nilipoishi Wakenya ndio wakalimani wa kiswahili, kuna siku nilienda mahali nikajifabya cjui English wakanipa dada mmoja wa Kikenya anitafasirie, yaani kilichokua kinasemwa na anachoniambia vilikuwa vitu tofauti. Nikamkataa then nikawaambia ukweli
 
Mkuu PASSPORT ni 150,000/= je gharama zingine ni za kwensa nchi gani?

Pia umeongea ukweli mkuu kwenda bara jingine kutoka huku Tz, uende kupambania maisha nje nafikiri itakubidi usiwe na chini ya 2mil
 
Umeongea madini tupu!! Vijana tuamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…