MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa mkizingatia hii ni Ziara ya Kikazi na siyo Binafsi.