Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

Na katika hizo 10 ~6 zinaenda Zanzibar 4 Tanganyika na ukija kutoa garama za nauli na posho za wazee wa unanijua mininani?asala bwelai faida uambai
Na katika bilioni 10 tutalipa riba bilioni 5, jumla bilioni 15, na zote zitalipwa na Tanganyika huku Zanzibar ikisamehewa
 
Sio lazima uambiwe,wewe uliza je majukumu ya Rais hayafanyiki?

Pili Buhari huwa akiugua huwa hawaambii wa Nigeria kwamba nitatibiwa kwa muda fulani ni mpaka atakaporudi na mambo yanaenda.
 
Unalipa kodi? tukitaka kujuwa ya watu sote tunakuwa walipa kodi mwache Mama afanye kazi wewe pigana na maisha huku vitu vinapanda wewe unataka kujuwa Mama anaenda siku ngapi itasaidia nini. Kwanza hakuna watu wanakwepa kodi kama nchi hii
 
Suburini mahari​

Uongozi wa hovyo huu.
 
Kama hajaenda kutuingiza kwenye mkopo mwingine sijui?
Bora mama yeye ni muwazi. Jiwe alikuwa anakopa kisiri na kudanganya uma. Wenye akili tulishtuka ila wale wenzangu na mimi aka Wanyonge na Sukuma gang wao ni kuimba mapambio tu.
 
Unalipa kodi? tukitaka kujuwa ya watu sote tunakuwa walipa kodi mwache Mama afanye kazi wewe pigana na maisha huku vitu vinapanda wewe unataka kujuwa Mama anaenda siku ngapi itasaidia nini. Kwanza hakuna watu wanakwepa kodi kama nchi hii
Hapo mwana lumumba unaona umeongea la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…