Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Hiyo style yako ni nzuri,unaleta mvuto Kwa nyumba na urahisi wa air circulation ndani nyumba,ni stahil inayotumika sana ulaya,uchina,huwa naona kwenye movies nyingi za wazungu.Binafsi naipenda hii style,changamoto kubwa hukuYes.
Ni kweli, ndio maana nilisema eneo unalojenga ni muhimu sana kuzingatiwa na hali ya usalama kiujumla. Design ya nyumba yangu ipo simple sana ni pitched roof bungalow nilitaka iwe na muonekano usio na mambo mengi ili isitengeneze attention kabisa. (Design focus was keep it simple and practical)Hiyo style yako ni nzuri,unaleta mvuto Kwa nyumba na urahisi wa air circulation ndani nyumba,ni stahil inayotumika sana ulaya,uchina,huwa naona kwenye movies nyingi za wazungu.Binafsi naipenda hii style,changamoto kubwa huku
kwetu ishu kubwa ni security haijakaa sawa,waweza vamiwa nyumbani hata kwa hausigel tu kuuza ramani,na ukapata madhara zaid hata ya saman za ndani.
Wewe na wanao ni wa thamani sanaHahahaa binafsi sionagi kitu cha thamani majumbani. Usalama wa watu waliomo ndani ndio hofu yangu. Grills zikiwa dirishani huwa zinanifanya nijione kama nimefungiwa ktk nyumba.
Hayo madirisha yamekugharimu sh ngp?Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Ni ili tu kibaka asipenye. Ila vibaka wazoefu wanayakata
Grill zinasaidia kumchelewesha mwizi kupenya ndani,hazimzuii moja kwa moja asiingie.
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
kwani marekani ndio Role model wetu?Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Gharama ilikuwa around Tshs. 750k per sqm kipindi hicho kabla ya VAT, ni double glazing nilitengenezewa na kampuni moja inaitwa Superlock Tz ( now Simba Doors & windows) ofisi yao ipo Masaki kilima nyege jirani na shule ya kimataifa ya Tanganyika na ubalozi wa Rwanda.Hayo madirisha yamekugharimu sh ngp?
Vipi kuhusu rodipatro? Na vipi kuhusu uwepo wa kamera za ulinzi mitaani?Nani kakwambia marekani ujambazi mwingi kuliko sisi, au marekani ya hapo kwenu ileje
marekan wanaiba pesa cashJe, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Weka milimita 16 hawakati wataishia kusonya tuNi ili tu kibaka asipenye. Ila vibaka wazoefu wanayakata.
Umefanya kitu ninachowaza Mimi. Kwangu nitaweka vioo tu Tena visivofunguka, ndani nataka kuwe na ventilation system za umemeKimuonekano pana fanana sana na nyumba hii. Tofauti yake mimi nimeweka full windows floor to ceiling nyumba nzima except for bathroom, laundry room and kitchen.
Magrill huku kwetu ni kwa ajili ya vibaka na sio majambazi....Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?