Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nyie ndio mnatuvuta mashati.Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao
Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi 🥃🥃🥃?
Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
Uongozi wa dini yenu unapochukua madaraka huwa tunarudi nyima.
Mnauza ardhi kila uvhao.
Cv. Lolindo saga
Ngorongoro, bandari