Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Adui namba moja wa Tanzania ni Ccm na ndio sababu ya Tanzania kua maskini hadi leo
 
Unajua bila kuwa na definition fulani tukakubaliana tunaongelea nini ni vigumu kufikia muafaka....

Kwahio ngoja tuweke premises kabla ya kuingia hatu nyingine.

Moja: Je Umbaomba lazima awe masikini ? Mtu anaweza akawa na zaidi yako ila bado akakuomba huyo ni masikini ana tamaa au mvivu ?

Mbili: Tanzania kama nchi kama imeweza kutoa climate isiyo na shida (natural AC) ardhi ya rutuba, watu wanaweza kuishi kwenye mazingira halisi na kujipatia chakula kutoka ziwani - Je hapo nchi ndio masikini au baadhi ya watu wake ? Unaweza kuona mtu anacheka kijijini mtu ana nyumba ya nyasi wakati yupo mjini na anaona watu homeless wanalala kwenye barabara hashangai homeless anashangaa wa kwenye nyasi ?

Tatu: je unaweza ukasema nchi ni tajiri wakati kuna watu wake wengi tu hawana kitu sababu kuna wachache wanavitu hata wasivyohitaji ? Nchi ipi ni tajiri yenye wengi wenye basic needs na wachache wanaosaza au wengi wanaosaza na wengi zaidi hawana hata basic needs ?

Hapo utaona kwamba kwa definition yangu nchi nyingi ni masikini tena kuna zile ambazo on paper unasema ni matajiri lakini tunawazidi ingawa sisi tatizo letu kubwa ni kwamba hatuna sababu ya kuwa na watu ambao hawana kitu

In abundance of water.... A fool is thirsty.......
 
Naanza kupata mashaka na watawala pamoja na viongozi wetu mpaka kufikia sasa.yani ukiangalia rasilimali tulizo nazo ila tumeshindwa kuzitumia kabisa kujitengeneza kiuchumi.

Ukiangalia mikopo ya kila kukicha kwa nchi yetu inayoenda kukopwa ni kama nchi imeshindwa kujiwezesha kimtaji.

Rasilimali za madini,maziwa,bahari,utalii,wanyama na n.k bado zijawa mkombozi hapa kwetu mfano migodi iliyopo geita,shinyanga,mara na mbeya inatosha tu kuendesha nchi.

Hivi nchi kama qatar ina mafuta na gesi lakini ni tajiri ?
 
uholanzi ni uwanja wa ndege na bandari ndo vinawapa utajiri
sisi hivo vitu vinatuletea hasara, vinatuchosha hadi tunawapa DP BURE
 
Hatariii na nusuuuuu........

tulisikia kipindi kile kuwa mtwala imeuzwa....... sasa tunaona bahari inaenda hivyooooooo. Wata vuna samaki wa baharini kama hawana akili nzurii

Watafanya ugunduzi wa gesi na mafuta kwenye bahari ya tanzania kama hawana akili nzuri....then wanauza wanaingiza faida ya miaka nenda na kwenda

Si. Daaaaahhh akili. Ni nywele na sio elimuuuuu
 
Habari!
Hii ni tathmini yangu Mimi Kiboko ya Jiwe. Ninapojiita kiboko ya Jiwe namaanisha jiwe ananijua huko aliko.
Wingi wa rasilimali za asili Tanzania ndio chanzo cha umaskini na ufukara miongoni mwa wananchi.
Serikali na viongozi hawajui waanzie wapi wamalizie wapi.
Mwaka huu kipaumbele gas, mwakani kipaumbele makaa ya mawe, mwaka mwingine kipaumbele uvuvi mara kilimo. Kila kiongozi anakuja na misisimko yake.
Ni ukweli kuwa Waafrika tuna IQ ndogo zisozoweza kubeba mambo mengi kwa wakati mmoja.
Ushauri: Ni heri tulock matumizi ya rasilimali kadhaa tu deal na kitu kimoja tu.
Waarabu na Waafrika IQ zetu zinakaribiana ila utofauti ni kwamba nchi za kiarabu hawana rasilimali nyingi kama nchi zingine za Afrika ndio maana wanatuzidi kimaendeleo.
Tufanye utilize rasilimali moja mpaka ilete tija ndipo tuiendee nyingine.
 
Hapana ukosefu wa wachumi au national economic planners wenye uzalendo wa dhati ndo chazo kikuu cha umasikini........imagine waziri wa fedha ni mwingulu nchemba loh
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao

Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi 🥃🥃🥃?

Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
 
Ko hadithi yako ww kama muslim inatufundisha nn na umepiga harakati gani kwa msaada wa dini yako kuifikisha Tz huko unadhani ilitakiwa kua,,, are their working for their churches?

Au wanawork katika dini zao?? Kwan huoni dini zao wakiziendeleza akina mwamposa, akina Musa sijui Musa temboni huko dar huoni walianza wap na wapo wap angalia makanisa katoriki wanashida?

Hao ndo wapo kwa ajili ya makanisa yao ww nawe eleweka upo kwaajili ya uislam au upo kwaajiri ya taifa deal huko ukija kitaifa tatua matatizo kitaifa ukitaka dini kaanzishe misikiti na makanisa huko jenga huko.... sidi ni ndugu
 
Na cha kushangaza zaidi ni hao wanao jiita wasomi kushinda humu wakililia ajira kwenye taasisi zinazo milikiwa wanao waita wavaa kobanzi ,badala ya kutumia elimu yao kuanzisha taasisi zao wakaajiriane?
 
Kwani mkuu kusoma ndio kuwa tajiri? Kwamba mimi nimesoma afya sawa sina hela ila kazini kwangu nafanya upasuaji unafanikiwa na watu wanarudi kuendelea na maisha yao kama kawaida

Napo utasema tu kuwa siitumii vzr elimu yangu kwakuwa sina pesa? Samahani lkn sijasoma ulichoandika nimepita tu na kichwa cha mada
 
Back
Top Bottom