Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Sasa na wewe hujui kiongozi?Kikwete alipokuwa rais aliulizwa hilo swali na Bob Geldof, akajibu hajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na wewe hujui kiongozi?Kikwete alipokuwa rais aliulizwa hilo swali na Bob Geldof, akajibu hajui.
Umeniuliza "nani kakuambia" nikakujibu ni Samia au nimekosea kukujibu?Wewe unajazwa ujinga na unaendelea kukujaa. Mimi naamini kama nchi Tanzania sio masikini. Bali, Watanzania ndio masikini wa akili.
Sijaongea bali nimeandika.Hifunze kuongea kwa Takwimu
Tanzania kama nchi haijawahi kuukataa umasikini. Inafanya maigizo ya kuukataa umasikini.Sasa na wewe hujui kiongozi?
Ikiwa tatizo limeshajulikana(kuwa ni ccm) sasa mbona halitatuliwi?Kwa sababu ya CCM.
Hilo halina mjadala.
Ni kama Cuba bado wanaishi maisha ya miaka ya 1950's.
Inasikitisha sana.
uholanzi ni uwanja wa ndege na bandari ndo vinawapa utajiriNaanza kupata mashaka na watawala pamoja na viongozi wetu mpaka kufikia sasa.yani ukiangalia rasilimali tulizo nazo ila tumeshindwa kuzitumia kabisa kujitengeneza kiuchumi.
Ukiangalia mikopo ya kila kukicha kwa nchi yetu inayoenda kukopwa ni kama nchi imeshindwa kujiwezesha kimtaji.
Rasilimali za madini,maziwa,bahari,utalii,wanyama na n.k bado zijawa mkombozi hapa kwetu mfano migodi iliyopo geita,shinyanga,mara na mbeya inatosha tu kuendesha nchi.
Hivi nchi kama qatar ina mafuta na gesi lakini ni tajiri ?
Hapana ukosefu wa wachumi au national economic planners wenye uzalendo wa dhati ndo chazo kikuu cha umasikini........imagine waziri wa fedha ni mwingulu nchemba lohHabari!
Hii ni tathmini yangu Mimi Kiboko ya Jiwe. Ninapojiita kiboko ya Jiwe namaanisha jiwe ananijua huko aliko.
Wingi wa rasilimali za asili Tanzania ndio chanzo cha umaskini na ufukara miongoni mwa wananchi.
Serikali na viongozi hawajui waanzie wapi wamalizie wapi.
Mwaka huu kipaumbele gas, mwakani kipaumbele makaa ya mawe, mwaka mwingine kipaumbele uvuvi mara kilimo. Kila kiongozi anakuja na misisimko yake.
Ni ukweli kuwa Waafrika tuna IQ ndogo zisozoweza kubeba mambo mengi kwa wakati mmoja.
Ushauri: Ni heri tulock matumizi ya rasilimali kadhaa tu deal na kitu kimoja tu.
Waarabu na Waafrika IQ zetu zinakaribiana ila utofauti ni kwamba nchi za kiarabu hawana rasilimali nyingi kama nchi zingine za Afrika ndio maana wanatuzidi kimaendeleo.
Tufanye utilize rasilimali moja mpaka ilete tija ndipo tuiendee nyingine.