Nyie ndio mnatuvuta mashati.
Uongozi wa dini yenu unapochukua madaraka huwa tunarudi nyima.
Mnauza ardhi kila uvhao.
Cv. Lolindo saga
Ngorongoro, bandari
 
Wewe ndiye unayechagulia watu wasome nini, na ni wewe pia unayepima maendeleo yao? Hata kama mtu amesoma sheria, kama anaweza kutoa ushauri wa kisheria mtu akashinda kesi, na badala ya kufungwa gerezani akafanya kazi na familia yake ikapata maendeleo, wewe unaona bado hajafanya maendeleo? Hata kama kwa mtazamo wako unaweza kuona hajafanya maendeleo, lakini kiuhalisia amefanya maendeleo makubwa kumfanya mtu asiende kupoteza muda wake jela kwa kosa ambalo hata halijui au amesingiziwa. Mtu kuwa huru tu ni maendeleo. Moja ya hotuba za Mwalimu Nyerere anasema "maendeleo ni kupanuka kwa uhuru wa watu na uchumi." Kwa hiyo, mtu akiwa huru kuliko kukaa jela ni maendeleo. Upo hapo?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Umenifurisha waswahili mtu anaye jua kupiga soga ndiye anaonekana ni kichwa lakini Kwa wezetu hiyo kitu hamna, msomi atatambulika Kwa terms anazo zungumza kulingana elimu husika na hapa kwenye terms ndio kuna utambuzi wakujua huyu ni msomi au ni domo Kaya.
 
Elimu ipi? Wakati mimi napasua mabusha ya ndugu yako huko tamisemi
. Ngoja nikuache, maana hapa ni sawa kama nabishana na picha ya ukutani.


. Eti TAMISEMI 😁😁. Asilimia kubwa walioajiriwa na Tamisemi ni wale waliomaliza form four vyet vyao vina D3, then wakajiendeleza na vyuo vya kuunga unga vya MBAGALA COLLEGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…