Thanks a lot Marrie Shaba, It is true our beloved country is not a poor country at all, but we have too many fisadis in high offices.
Thanks a lot Marrie Shaba, It is true our beloved country is not a poor country at all, but we have too many fisadis in high offices.
. . . So we have a long way to go as individuals if we need real changes
How? need for change ni wimbo ulioimbwa, na unaendelea kuimbwa though ushachuja. Wimbo mpya unatakiwa uwe how to bring those changes.
Vipi website ya TPN, bado mzee?
Mkandara hapa ni kama una assume wamba nchi tajiri hazikuwa masikoni. Kujaribu kumleta Nyerere kwenye hili ni kukwepa matatizo yetu na kutafuta mchawi. Nyerere alifanya alichoweza nacho ni kujenga misingi ya taifa ambayo bila hiyo labda leo tungekuwa zaidi ya Somalia.Wakuu zangu baada ya kusoma maelezo mengi, hoja za kila aina pamoja na finacial analysis kibao, nimerudi ktk swala kuu na la msingi kabisa - hivi, KWA NINI TANZANIA NI NCHI MASKINI.
Nakumbuka swali hili aliulizwa Mh. rais wetu JK akashindwa kulijibu, akisema hata yeye hafahamu kwa nini Tanzania ni maskini, lakini hata bila yeye kujibu hivyo hii nchi yetu ni maskini kabla na baada ya uhuru, hivyo hata yule mwenye kujua sababu awe Nyerere, Mwinyi au Mkapa hao wachumi na kadhalikae hawa walishindwa kutuondoa ktk Umasikini.. Hivyo conclusion yangu ni kwamba hata wao hawakuwa na jibu..
Je, wewe Mtanzania unafahamu au unajua kwa nini Tanzania ni nchi maskini?..
1. Ufisadi
2. Uongozi
3. Ukondoo (amani na utulivu)
Kwa maana ya kwamba Tanzania imelaaniwa?..be serious!HISTORIANS and the proponents of DARWINISM have all along concluded that the region now called tanzania was the cradle of mankind,and hence was the region where adam and eve committed that cardinal sin.To this present day tanzania is facing the ferocious wrath of the almight GOD for what happened on her soil ions ago.
Wakuu zangu baada ya kusoma maelezo mengi, hoja za kila aina pamoja na finacial analysis kibao, nimerudi ktk swala kuu na la msingi kabisa - hivi, KWA NINI TANZANIA NI NCHI MASKINI.
Nakumbuka swali hili aliulizwa Mh. rais wetu JK akashindwa kulijibu, akisema hata yeye hafahamu kwa nini Tanzania ni maskini, lakini hata bila yeye kujibu hivyo hii nchi yetu ni maskini kabla na baada ya uhuru, hivyo hata yule mwenye kujua sababu awe Nyerere, Mwinyi au Mkapa hao wachumi na kadhalikae hawa walishindwa kutuondoa ktk Umasikini.. Hivyo conclusion yangu ni kwamba hata wao hawakuwa na jibu..
Je, wewe Mtanzania unafahamu au unajua kwa nini Tanzania ni nchi maskini?..
Mkuu wangu labda hujanielewa..Mkandara hapa ni kama una assume wamba nchi tajiri hazikuwa masikoni. Kujaribu kumleta Nyerere kwenye hili ni kukwepa matatizo yetu na kutafuta mchawi. Nyerere alifanya alichoweza nacho ni kujenga misingi ya taifa ambayo bila hiyo labda leo tungekuwa zaidi ya Somalia.
Mwnyi alichukua nchi wakati mbaya lakini naye alifanya alichofanya. Madudu yalianzia kwa Mkapa ambaye aliamini dawa ni kugawa kila kitu maana hata siyo kuuza. Jk naye lazima ashindwe kujibu maana 'like father like son' anaendelea ya Mkapa
IPTL Mkapa - RICMOND JK
TTCL Mkapa - TBC JK
Bulyanhulu Mkapa _ Buzwagi JK and so forth.
Majibu kwa nini Tanzania ni maskini umepewa na Nurujamii hapo chini