Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Thanks a lot Marrie Shaba, It is true our beloved country is not a poor country at all, but we have too many fisadis in high offices.

BAK, ni kweli kabisa, nashikuru kwa pospot hii kitu... knowing JF is one of the most resourceful package tujaribu ku-extend this to all natural resources we have

Kama tutaweza analyse potentials nadhani wakubwa watatuelewa

some of them are really bunch of clueless criminals kama tulivyoona samaki wa magufuli walivyotendewa na ki-bunch cha hooligans
 
Leadership is everything. We get it right, we get better.Tukijazana ma egotist, with intention to enrich ourselves from public offices, tusahu kuhusu maendeleo!! Very sad kwa Taifa letu hili zuri lenye kupendeza.
 
Kwa nchi ambayo haina uwezo wa kuongeza thamani kwa rasilimali zake na kuuza nje, rushwa ndo njia kuu ya wengi kujiendeleza. Kuanzia messenger mpaka waziri.
 
Yes very interesting eye opening thanks very much however I beg to differ in some of her arguments. it seems tarmac road mileage is what is supposed to measure our poverty level.

in a country of 35million people, where over 70% and more are estimated to be in poverty i dont think the funds mentioned can solve that problem overnight if that is the case it qualifies as a poor country. we tend to elude our true status and live in a fantasy that doesnt refelect reality as a result less effort is being exerted to solve these main issues . how many parents in Tanzania today can't guarantee a weekly meal to their children let alone a monthly one, also we dont even have an infrastructure to guarantee them that is going to be a possibility one day either. im thinking in terms of employment and life chances.

yes much is being lost in terms of these silly contracts, and not protecting our assets. therefore the numbers mentioned only aim to provoke some us who think the leaders are useless anyway.

most people think tanznanians leaders are stupid, some of us because we are western educated and see these governments how they think for their people. but that is not the case at all i believe Tanznanians politicians are not as dumb as people think of them, after all their western educated as well matter of fact their classmates are our teacher today. so not being able to think like the western is not an issue to them its just that, the system at home allows corruption to occur easily and they end up being part of it. Kikwete himself can not solve all the problems Tanzania have at the moment its a fact i think, in my view he has to give other bodies much power such as the Police force, the intelligent services and judiciary if he really intends to stop corruption because at the moment there a lot of people who are responsible for the loss of that money mentioned above walking free, if not still stealing elsewhere. the problem Tanznania is being runned like a private business rather than a democrtic nation and there are no plans to tackle the real issues of poverty just look at the statement of Marie Shaba he mentioned all the money but never how it is supposed to reach to Mlalahoi only what tarmac mileage it can produce idiot.

Mungu Ibariki Tanznania
 
Thanks a lot Marrie Shaba, It is true our beloved country is not a poor country at all, but we have too many fisadis in high offices.

Son:

Kuwepo kwa miti sio lazima kuwepo na wajenzi. Tanzania miti hipo hila hakuna wajenzi.
 
. . . So we have a long way to go as individuals if we need real changes

How? need for change ni wimbo ulioimbwa, na unaendelea kuimbwa though ushachuja. Wimbo mpya unatakiwa uwe how to bring those changes.

Vipi website ya TPN, bado mzee?
 
Viongozi wa Kenya wameamua kuuza magari yote ya kifahari na fedha itakayopatikana itatumika kwa shughuli mbalimbali za kuwasaidia masikini ikiwemo wale walioathirika na kuhama kutokana na mapigano mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Badala ya magari ya kifahari sasa viongozi wa nchi hiyo watapatiwa magari ya kawaida kama vile Volkswagen, Toyota Corolla, Celica, Cresta na mengine kama haya.

Mapinduzi haya inaelekea yanaletwa na mtoto wa Familia ya Kitajiri na wa Rais wa kwanza wa Kenya ambaye sasa kajifunza kuwa yeye kuwa tajiri na kuishi kifahari wakati Wakenya wengi ni masikini wa kutupwa ni sawa na kukufuru.

Wachunguzi wa kisiasa wanajiuliza hivi nchi ambayo ingelifanya jambo hili ni Keny au Tanzania. Majibu ya baadhi yao ni kwamba viongozi wengi wa kItanzania wanatokea familia za Kimasikni na wakiukwaa utajiri kwa njia za halali au wizi inakuwa kama vile kipofu kauona mwezi. Wale wanaotokea familia za Kitajiri hawajawahi kufunzwa lolote na wazazi wao kuhusu maana na sababu ya kuwepo hapa duniani. Na wanachukulia kwamba kuwa na magari ya kifahari, majumba makubwa na kutapanya pesa katika anasa binafsi ni haki yao.
 
Kila kitu kina mwanzo. Na bila shaka ninaona mwanzo wa mwisho wa kuibiwa kwa watanzania.

Wenzetu wakenya walikubali kuchapana bakora vizuri sana na ndiyo heshima ikapatikana, tunahitaji kitu kama hicho katika Tanzania.

Malalamiko na kelele za walala hoi si kwamba hazisikiki, bali walio madarakani hawaoni umuhimu wa kukubali mabadiliko kwa ajili ya kelele tupu bila vitendo.
 
Wakuu zangu baada ya kusoma maelezo mengi, hoja za kila aina pamoja na finacial analysis kibao, nimerudi ktk swala kuu na la msingi kabisa - hivi, KWA NINI TANZANIA NI NCHI MASKINI.

Nakumbuka swali hili aliulizwa Mh. rais wetu JK akashindwa kulijibu, akisema hata yeye hafahamu kwa nini Tanzania ni maskini, lakini hata bila yeye kujibu hivyo hii nchi yetu ni maskini kabla na baada ya uhuru, hivyo hata yule mwenye kujua sababu awe Nyerere, Mwinyi au Mkapa hao wachumi na kadhalikae hawa walishindwa kutuondoa ktk Umasikini.. Hivyo conclusion yangu ni kwamba hata wao hawakuwa na jibu..

Je, wewe Mtanzania unafahamu au unajua kwa nini Tanzania ni nchi maskini?..
 
HISTORIANS and the proponents of DARWINISM have all along concluded that the region now called tanzania was the cradle of mankind,and hence was the region where adam and eve committed that cardinal sin.To this present day tanzania is facing the ferocious wrath of the almight GOD for what happened on her soil ions ago.
 
Mkandara hapa ni kama una assume wamba nchi tajiri hazikuwa masikoni. Kujaribu kumleta Nyerere kwenye hili ni kukwepa matatizo yetu na kutafuta mchawi. Nyerere alifanya alichoweza nacho ni kujenga misingi ya taifa ambayo bila hiyo labda leo tungekuwa zaidi ya Somalia.
Mwnyi alichukua nchi wakati mbaya lakini naye alifanya alichofanya. Madudu yalianzia kwa Mkapa ambaye aliamini dawa ni kugawa kila kitu maana hata siyo kuuza. Jk naye lazima ashindwe kujibu maana 'like father like son' anaendelea ya Mkapa
IPTL Mkapa - RICMOND JK
TTCL Mkapa - TBC JK
Bulyanhulu Mkapa _ Buzwagi JK and so forth.
Majibu kwa nini Tanzania ni maskini umepewa na Nurujamii hapo chini

1. Ufisadi
2. Uongozi
3. Ukondoo (amani na utulivu)
 
HISTORIANS and the proponents of DARWINISM have all along concluded that the region now called tanzania was the cradle of mankind,and hence was the region where adam and eve committed that cardinal sin.To this present day tanzania is facing the ferocious wrath of the almight GOD for what happened on her soil ions ago.
Kwa maana ya kwamba Tanzania imelaaniwa?..be serious!
 
Wakuu zangu baada ya kusoma maelezo mengi, hoja za kila aina pamoja na finacial analysis kibao, nimerudi ktk swala kuu na la msingi kabisa - hivi, KWA NINI TANZANIA NI NCHI MASKINI.

Nakumbuka swali hili aliulizwa Mh. rais wetu JK akashindwa kulijibu, akisema hata yeye hafahamu kwa nini Tanzania ni maskini, lakini hata bila yeye kujibu hivyo hii nchi yetu ni maskini kabla na baada ya uhuru, hivyo hata yule mwenye kujua sababu awe Nyerere, Mwinyi au Mkapa hao wachumi na kadhalikae hawa walishindwa kutuondoa ktk Umasikini.. Hivyo conclusion yangu ni kwamba hata wao hawakuwa na jibu..

Je, wewe Mtanzania unafahamu au unajua kwa nini Tanzania ni nchi maskini?..

ukilinganisha na wapi? ili tupate hoja yenyewe vizuri maana inawezekana tunajiona masikini kwa kulinganisha na mataifa yenye miaka 200 kwenye uhuru na ambayo hoja kama hizi zilijadiliwa miaka 155 iliyopita na wakapata majibu ndo maana leo wapo kama walivyo!!otherwise hilo swali uliza the other way round ili tujue tunaweza kuendelea baada ya muda gani??
 
Mkandara hapa ni kama una assume wamba nchi tajiri hazikuwa masikoni. Kujaribu kumleta Nyerere kwenye hili ni kukwepa matatizo yetu na kutafuta mchawi. Nyerere alifanya alichoweza nacho ni kujenga misingi ya taifa ambayo bila hiyo labda leo tungekuwa zaidi ya Somalia.
Mwnyi alichukua nchi wakati mbaya lakini naye alifanya alichofanya. Madudu yalianzia kwa Mkapa ambaye aliamini dawa ni kugawa kila kitu maana hata siyo kuuza. Jk naye lazima ashindwe kujibu maana 'like father like son' anaendelea ya Mkapa
IPTL Mkapa - RICMOND JK
TTCL Mkapa - TBC JK
Bulyanhulu Mkapa _ Buzwagi JK and so forth.
Majibu kwa nini Tanzania ni maskini umepewa na Nurujamii hapo chini
Mkuu wangu labda hujanielewa..
Nachosema ni kwamba nchi yetu maskini na sote tunajua hilo iwe toka mkoloni au wakati wa Nyerere na kadhalika.. hali hiyo haijabadilika hivyo nachotaka kuelewa hapa ni sababu zipi zinazosababisha Umaskini wetu. Hata kama Nyerere alifanya alichoifanya iwe kujenga misingi au lolote lile halikuweza kubadilisha kitu isipokuwa sisi ni maskini. Kujaribu kuifananisha Tanzania na Somalia ni dhana tu yawezekana pia ingekuwa tofauti ka a tungefahamu sababu ya umaskini wetu kwanza... Huna uhakika isipokuwa tunachokiona ni umaskini wa Tanzania ktk hali tuliyopo..
 
Nadhani unge rephrase kichwa cha mada na kuwa "Kwa nini Afrika ni bara maskini?"

Ila mwisho wa siku, baada ya kufanya kila aina ya diagnosis na kudhani mmejua au tumejua sababu ya nini sisi kuwa maskini, ukweli unabaki palepale kuwa sisi Miafrika ni Ndivyo Tulivyo na hiyo ndiyo sababu kuu (underlying reason) ya umaskini wetu na yote yaliyowahi kutokea Afrika pamoja na utumwa na ukoloni.
 
Last edited:
Not wishing to sound corny, but endless displays of conspicuous consumption (think "kufuturisha", wedding feasts, etc), profound sense of instant gratification, mediocrity and small-mindedness (read: pre-rational and superstitious mindset) in people's thinking (among a-million-and-one-other seemingly "stupid" reasons) do contribute to holding back communities and society.
 
Tanzania si maskini. Ni Watanzania ndio maskini. Wala sio maskini bali ni mafukara. Ni ufukara uliotokana na ujinga (kukosa Elimu) na uongozi mbaya. Hayo mawili yamezaa ufisadi, na huu ufisadi ukaleta ufukara zaidi (vicious circle)
 
Back
Top Bottom