Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana hata mtoto wa shule ya darasa la saba anaweza kuongoza Tanzania?Kuongoza Tanzania easy sana!
Una maana hata mtoto wa shule ya darasa la saba anaweza kuongoza Tanzania?
Kuongoza tanzania easy sana!
Kama ukiniambia raisi alijibu kwa ufasaha kwanini watanzania ni masikini, jibu lake ni lipi? mie nafikiri jibu la umasikini ni kuuondosha na kubadilisha maisha ya wanaichi, tuache siasa tujadiri maisha halisi ya mtanzania, majibu ya raisi na waziri mkuu yamekaa kisiasa zaidi, lakini pia raisi mwenyewe alikubali kuwa hajui kwanini tanzania ni masikini mbali na rasilimali ilizonazo, hayo au hizo resouces zilitajwa hapo juu ni sehemu ndogo tu ya yale tuliyo nayo, kuna mengi zaidi ambayo hayatajwa, hey man funguka macho angalia mbele future ya wanao na wajukuu zako yatkuwaje? achana na ,majibu mepesi ya raisi na waziri mkuu wake, nategemea mchango wenye maaono toka kwako
Edit Post
Reply
Reply With Quote
WHY TANZANIANS ARE VERY POOR?
But my main quastion remain unanswered,
WHY TANZANIA IS ONE OF THE POUREST COUNTRY? Jamani with all the resouces we have? Still poor? and Who is taking everything that we producing?
It is definately bad policy, the Law makers and the politicians should wake up and think about others, not only for their big stomach,
Hey wakeup man, jamani nini kinatumbaza?