Du! imenikumbusha siku zileeee, kwamba simjui mmiliki wa Richmond, Dowans na naniliu!
 
Hizo tunaweza kuziita kauli za kilevi
 
WHY TANZANIANS ARE VERY POOR?

Tanzania the Country with full of Natural Resouces, and known to be the third richest Country in the world after DRC- Congo and Angola.

Tanzania is full of Gold, Diamond, Green tomaline, Tanzanite, Gas and the big deposit of URANIUM in the world,
From north of Tanzania to south and from east to west of the country it is full of different minerals, we also have the biggest lakes in Africa like Victoria and Tanganyika which is the depest in the world and has lots of fishing.

We also have plent of National Parks ,and tourist are flowing everyday in to it, and some of them very famous like Serengeti and Ngorongoro.

We also have the highest Mountain in Africa the Kilimanjaro, thisi is magic one, The World should know that in Tanzania Gold and other germsone is everywhere across the country.

The big deposit of Uranium that has been found in the central of country, the project is on the way to take off,
apart from that,there are several gold mine across the nation that are already running.

We also have a very wide sea area, i mean Indian ocen and the fishing boat are spending day and night busy picking fish, same thing happening to lake Victoria and Tanganyika.

But my main quastion remain unanswered,
WHY TANZANIA IS ONE OF THE POUREST COUNTRY? Jamani with all the resouces we have? Still poor? and Who is taking everything that we producing?

It is definately bad policy, the Law makers and the politicians should wake up and think about others, not only for their big stomach,
Hey wakeup man, jamani nini kinatumbaza?
 
Watanzania wenzangu wakati umefika tuangalie maisha yetu na ya watoto wetu pia, angalieni nchi ndogo kama vile Rwanda na Burundi Uganda na hata jirani zetu Kenya, mbona wao wanafanya vizuri, na hawako na resouces kama zetu, je sisi ni nini kimeturoga? wakati umefika sasa wananchi tushike hatamu tulete mabadiliko
Mungu bariki Tanzania
 
" hata mimi sijui kwanini Tanzania ni Maskini " J M . Kikwete , Tanzania president ( 2005- )
 
No! Nakataa, hii nchi siyo masikini hata kidogo, na nachukia sana neno masikini, na viongozi kama pinda na jk hupenda sana kutupumbaza kwa kauli hiyo. Jinsi wanavyotutamkia na sisi tukikubali ndiyo yanatokea. Je hiyo 3% tunayopewa ya madini tutajaendelea?
 
Hili swali mheshimiwa Waziri Mkuu alishawahi kulijibu kwa ufasaha na pia mheshimiwa Rais wetu alishawahi kulijibu vizuri sana.Sasa hatujaskia maoni ya Makam wa kwanza wa Rais nae anasemaje juu ya hili.Binafsi majibu ya hawa wakubwa yaliniridhisaha sana
 
"Sijui ni kwanini Tanzania ni masikini" his excellence Jakaya Mrisho Kikwete.:ranger:
 
Umefika wakati hawa viongozi wetu ni lazima watuambie ukweli mie nafikiri hawa wote ni pupet leaders wana mabwana zao wanao watumikia na sio watanzania.
 
Kama ukiniambia raisi alijibu kwa ufasaha kwanini watanzania ni masikini, jibu lake ni lipi? mie nafikiri jibu la umasikini ni kuuondosha na kubadilisha maisha ya wanaichi, tuache siasa tujadiri maisha halisi ya mtanzania, majibu ya raisi na waziri mkuu yamekaa kisiasa zaidi, lakini pia raisi mwenyewe alikubali kuwa hajui kwanini tanzania ni masikini mbali na rasilimali ilizonazo, hayo au hizo resouces zilitajwa hapo juu ni sehemu ndogo tu ya yale tuliyo nayo, kuna mengi zaidi ambayo hayatajwa, hey man funguka macho angalia mbele future ya wanao na wajukuu zako yatkuwaje? achana na ,majibu mepesi ya raisi na waziri mkuu wake, nategemea mchango wenye maaono toka kwako
 

ni swali rahisi kwa mtu yeyote aliyewahi kusafiri toka kaskazini-kusini,mashariki-magharibi anaweza elezea practically
utajiri tulionao tanzania,lakini kwa yeyote ambaye hajapata fursa ya kushuhdia itakuwa ni vigumu kwa sababu ni nadharia
lakini turudi nyuma tuangalie misingi ya maendeleo ni lazima pawepo na WATU,ARDHI,SIASA SAFI[SERA],NA UONGOZI
[USMAMIZI]BORA.sasa jiulize kati ya vitu hivi ni kipi kimekosekana? labda jibu wote tunalo.hatuna uongozi bora
,
 
ni swali rahisi kwa mtu yeyote aliyewahi kusafiri toka kaskazini-kusini,mashariki-magharibi anaweza elezea practically
utajiri tulionao tanzania,lakini kwa yeyote ambaye hajapata fursa ya kushuhdia itakuwa ni vigumu kwa sababu ni nadharia
lakini turudi nyuma tuangalie misingi ya maendeleo ni lazima pawepo na WATU,ARDHI,SIASA SAFI[SERA],NA UONGOZI
[USMAMIZI]BORA.sasa jiulize kati ya vitu hivi ni kipi kimekosekana? labda jibu wote tunalo.hatuna uongozi bora
,
Edit Post
Reply
Reply With Quote
 
Inasikitisha sana watz tunadhulumiwa mali zetu na bdo tupo kimya,tuna bandari ya dsm inayohudumia nchi zaidi ya tatu lakini uliza ni siasa tu,nchi ipo kwenye tano bora ktk kuzalisha dhahabu nyingi,tuna makaa ya mawe yaliyo bora,almasi,chuma,uranium na pekee yetu tunazalisha tanzanite.tuna milima mrefu africa mt.kilimanjaro,meru,tuna maziwa makubwa africa na dunia victoria na tanganyika,mbuga kubwa africa,serengeti
lakini bdo havitusaidii.bado wakenya wanadai kilimanjaro upo kwao na sijawai kusikia kiongozi yyte akikanusha
 

Tatizo mipaka ya wanasiasa uchwara wa tanzania au nikisema sehemu kubwa ya nchi za Afrika weusi hawajui mipaka yao.
Kazi za wanasheria,wachumi na wataalam wengine mi naona hilo ni tatizo moja kubwa sana.Siasa influence yake imekuwa kubwa sana ktk mambo ya kitaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…