Mbona jambo lipo wazi tu mkuu wangu, au usichojua hapa ni nini?
 
Kwani ni Uongo?
Yaani miaka zaidi ya 50 toka tupate uhuru tupo chini ya CCM lakini mpaka leo hii serikali yetu inategemea wahisani(wazungu) watupe pesa ya kununua chakula, dawa na kujenga vyoo.

CCM ni zaidi ya uchawi, ni laana kubwa sana kuendelea kuikumbatia CCM.
 
ule ni kupakana ujinga...

umasikini wangu mimi ndio sababu hausiki mtu yoyote na asihusishwe mtu,chama,mzazi wala imani yoyote
 
Aisee hasira sio nzur kwa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na mimi ninavyo waaminisha watu kuwa mafisadi wanaungwa mkono na chadema.
#nakwenda_zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisadi wa CHADEMA wanalihusu nini taifa??? Usiwe kilaza , hoja hapa ni watu wenye nguvu kubwa bungeni kupitisha sheria na mikataba ya kipumbavu ambayo leo mh. Rais anahaika kuifuta , ni kina nani wapitishaji kwa nguvu mikataba na sheria hizo za kipuuzi? Hao ndio wanao litia hasara taifa hili nadhani unawaju.
 
Akili mavi kama hizi zako zimesababishwa na ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…