Naamini watanzania wote hamjambo!

Kama mada ilivyo hapo juu hebu tujiulize kama Watanzania, pamoja na Nchi Yetu kuwa na rasilimali nyingi kwanini watanzania ni Masikini?Je tunakosea nini na wapi? Je ni Siasa MBOVU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini watanzania wote hamjambo.Kama mada ilivyo hapo juu hebu tujiulize kama Watanzania, pamoja na Nchi Yetu kuwa na rasilimali nyingi kwanini watanzania ni Masikini?Je tunakosea nini na wapi? Je ni Siasa MBOVU?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata JK aliulizwa alipokuwa nje ya nchi akajibu hata yeye anashangaa, hakutaka kusema ukweli kuwa ccm ndiyo chanzo cha umasikini Tanzania
 
Wanaokula mkate wakati wa ibada ndio wanaaminishwa hivyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiona uzi kama huu namkumbuka mkuu Ontario.
Mtafuteni humu jf
 
Kusoma hujui, picha nayo je??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimeona niwaulize Maprofesa, Madaktari na wasomi wetu je wamefanya tafiti na kubaini kwanini watanzania ni Maskini pamoja na RASLIMALI TULIZONAZO?
 
..jibu la swali hili ni fupi sana wala uhitaji msomi wa PhD kukujibu....umaskini wa watanzania unachangiwa na ujinga wa watanzania, siasa chafu na ukosefu wa uongozi bora....

...Ili tuendelee tunahitaji Ardhi (ipo tele), watu( wapo ila wengi wajinga/ignorants), siasa safi(hamna) na uongozi bora( haupo tangu alipotuacha nyerere)...

...mataifa yote yaliyo excel kimaendeleo yalipambana na mambo hayo na kuyashinda....mfano mzuri ni China...ambao siasa yao ni ya ujamaa kama yetu lakini ni siasa safi yenye kufanywa na viongozi bora kabisa....na pia China ni nchi isiyo na wajinga....
 
Umaskini hautaondoka ikiwa tukaendelea kuwathamini wageni kuliko wananchi wetu.
 
Tatizo wasomi wengi ni wapumbavu.Maana ni waoga,wanafiki, na kitu pekee wanachoweza ni kuangalia tumbo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…