Nchi zote zina Tanzanite nasikia ata kwenu Rwanda zipo!?


Hazina tanzanite lkn zina kingine ambacho ni cha kipekee pia ambacho sisi hatuna hivyo siyo big deal yaani haielezei kwa nini nchi ni masikini au tajiri!
 
Kiukweli inasikitisha sana watu wapo bize na mambo yasiyo ya msingi.laiti sikutukipata democracy iliyo huru hakika tutapiga hatua bilahivyo hakuna jipya.
 
Sasa umejibu nini...ndio wale wale wa kutaka kubadilishwa "msahafu"
 
Nchi ambayo lusinde,prof maji-marefu,ndugai na mkamia wanachaguliwa kuwa wabunge huku wananchi wakitegemea maendeleo kupitia viongozi hao......sidhani kama tanzania hii itakuja kuendelea
 
ficha u.pumbavu wako [emoji20]
 
Wako wengi makuadi wa mabwanyenye ambao wanataka kutukatisha tamaa ili waendelee kutunyonya - Ahsante Trump!!
 
boyz2men wametuharibia nchi.

nimewai kuweka thread kuhoji haya yote inakuwaje TZ iwe masikini kiasi hicho na rasilimali zote hizoo!!

halafu isitoshe yule bwana akatuita kabisa waTZ ni malofa[emoji35][emoji35]
 
Reactions: PNC
Wa kulaumiwa ni upinzani uchwara, tuliwaamini watukomboe, kumbe ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa, wanajali matumbo yao, hovyo kabisa
 
Labda wewe ndo ungefanya hivyo, acheni kujidanganya, fanyeni kazi hakuna miujiza, kila nchi ina upekee wake Dunia hii!
nani aliesema anataka miujiza?
hivi kwanza umeelewa kinachoongelewa hapa Barba!!
 
Unaweza kuwa na wachezaji wazuri kama simba lakini kochà huna Tanzania haina kocha
 
Hazina tanzanite lkn zina kingine ambacho ni cha kipekee pia ambacho sisi hatuna hivyo siyo big deal yaani haielezei kwa nini nchi ni masikini au tajiri!
Lakini hakina dhamani ya Tanzanite !?
 
Serikali kutokuwekezaa kwa nia ya dhati kwenye elimu za vijana, ambayo itaendana na techolojia ya sasa. Tutanyonywa sana rasilimali zetu japo kua serikali ni percentage ya hisa japo kila mgodi.
 
Lakini hakina dhamani ya Tanzanite !?


Unaona mnazidi kujidanganya, ni nali alikwamba kwamba Tanzanite ina thamani kubwa? Unajua soko la tanzanite Dunia kote ni kiasi gani? Ni 500 milion USD tu, sasa hiyo ni sawa na karibia thamani ya Mgodi mmoja tu wa Buzwagi na nusu yake!
Kumbu kumbu zangu zinaniambia Buzwagi thamani yake ni zaidi ya milion 300 USD!
 
Mkuu Mada Safi yenye Machungu na Majuto ndani yake..Tatizo la Msingi kabisa ni Elimu ..na Pili Uzalendo kwa Wale wanaopata nafasi za uongozi..Hawa ndiyo wa kuchukuliwa hatua(siyo kulaumiwa)..Wakulaumiwa ni Wananchi kwa kuchagua Viongozi wabovu..Sababu ni kutokua wabunifu katika kuzitumia Rasilimali tulizonazo..
Mwisho Kwanini tunashindwa kutumia huu utajiri..Sababu ni kuwa hatukujiandaa /Kuandaliwa katika kuzisimamia hizi Mali..Tuliaminishwa na WanaSiasa Kilimo pekee ndiyo kitajenga Uchumi wa Tz..
 
wakuu mie nilikua naona serikali yetu igawanye Tanzania ki zone,kila zone ijitegemee,kuwe na kiongozi ila wote wawe chini ya Rais,hii itasaidia kila zone kuexploit kila resources kwa maendeleo yao ya kizone,,,,,na pia kutaleta ushindani baina ya zones,sio sasa hivi hata viongozi wa juu wanamuogopa mkuu,wako passive.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…