rama mjusi
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 352
- 55
Lowasa alikuwepo ktk hayo maamuzi akiwa waziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwezo wa kuyachimba mnao?,technology mnayo ili myachimbe wenyewe.
unadhani mtu aje na vyote hivyo,awekeze mabilioni ya dola kisha nyie mchukue hela?,,,,
kwa sababu wengi zenu ni wapumbavu na malofa.Mimi nashangaa tunanadi kuwa tuna madini ya kila aina, bahari, misitu, mbuga za wanyama na ardhi kubwa ya kilimo lakini nchi imekithiri umaskini na mabingwa wa kuombaomba kwa wazungu na wakati huohuo serikali inafukuza ombaomba mjini lkn wao kuomba kwa wazungu hakuna anayewafukuza sasa tatizo ni viongozi, wananchi au Chama tawala
Nikajua nimeona mwenyewe na kuwaza mwenyewe lakin hizo ndo tabia za maskini too much spending.Kwanini masikini hupenda sifa na matanuzi? Naangalia bunge la UK ukumbi wao ni wa kawaida sana, hauna mbwembwe licha ya utajiri wao.Inakuwaje pale Dodoma ukumbi wa bunge mi wa kifahari as if sisi tuna uwezo mkubwa kiuchumi?