MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Hizo ni pesa zote ambazo wewe (pasipo kupenda) kwa lazima ya moyo wako hupunguza kwenye kipato chako na kuwatumia wahitaji wa ukoo wako yaani unawatumia, wazazi, ndugu, jamaa na wajombaa (marafiki).Hapo kwenye BLACK TAX ufafanuzi unahitajika mkuu[emoji120]
Sijaambulia chochote. Maelezo zaidi, tafadhali[emoji120]