Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki.

Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani.

Ni kwa nini watanzania wengi hawana imani na mifumo ya mahakama?
It's not rocket science, it's very obvious!
Rushwa rushwa rushwa!
Kama ni kesi za kuku kati ya walala hoi wawili, hapo hakuna shida, kamshitaki mwenye pesa au madaraka uone balaaa
 
Nadhani wenye haki baadhi hukimbia kesi baada ya kuona itawarudia wao wenyewe na pengine ukafungwa na haki ni yako.
 
Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki.

Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani.

Ni kwa nini watanzania wengi hawana imani na mifumo ya mahakama?
Rushwa ni adui wa haki.
 
Nchi karibia zote za bara la Afrika isipokuwa South Africa kwa kiasi Fulani zina Mifumo ya Mihimili ya Dola iliyo dhaifu sana kupita kiasi. Kuna mihimili ya Dola ambayo imevurugika vibaya sana kiasi kwamba Serikali za nchi hizi zinaendeshwa kwa mtindo wa "Magenge ya Watu Walioshika silaha na kupora kila rasilimali ya nchi ili kujinufaisha wao binafsi na members wa Magenge yao". Mahakama zimekuwa kama Kamati za Kuhalalisha Uporaji wa Magenge ya Watawala na Kisha kuwatetea members wao, Waingereza Mahakama za namna hii wanaziita "Kangaroo Courts". Mahakama hizo ni kama "Kamati tu za Watetezi wa Magenge ya Watawala wa nchi" ndio maana haziaminiki huku Mahakimu au Majaji wakijinufaisha kwa kupokea rushwa, na rushwa imekuwa kama reward kwao kwa kazi ngumu ya kuwatetea watawala kwani pia wanajua fika kwamba hawataweza kuchukuliwa hatua zozote za kisheria kwani Mahakimu/Majaji na watawala ni mapacha wanaolindana na kuteteana kwa kila jambo.
 
Mmh mahakama za TZ ni uozo mtupu. Yaan rushwa nje nje haki yako inapotea ivi ivi unaona.

Nilichofanyiwa sitakisahau, natamani kupata mawasiliano ya Jaji Mkuu nimwelezee
 
Katika vitu vimeua nguvu ya mahakama ni katiba,hii nchi mahakama ni tawi la ccm kama ilivyo uvccm,bakwata,cwt n.k.
 
Back
Top Bottom