Ni ukichaa kuamini mahakama za afrika hasa tz? Tuna wanasheria wapumbavu sana wanaoziongoza mahakama zetu, aliyekamatwa na kitoweo cha swala jela miaka 20 wakati aliyelitia hasara taifa ya shilingi bilioni 5 ameambiwa aende jela mikaka mi3 au alipe faini ya tsh mil8, yakitoka hapo yanajiita wanasheria wasomi, PUMBAVU ZAOLeo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki.
Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani.
Ni kwa nini watanzania wengi hawana imani na mifumo ya mahakama?