Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?


Uwezo mdogo wa kufikiri. Unajua wanyama wana hisia kama sisi, wanapata maumivu, wanaumia wakipigwa, wanapata huzuni ndugu zao wakifa.

Kwa sababu hawawezi kuongea kama sisi, haimainishi tusiwathimini, tusiwape heshima.
 
Aisee me nisingekuwa na mudA wa Kuna kukuuliza Wala kuendesha kesi ilikuwa ni kuwatia vilema wote wewe na mbwa wako,huwezi linganisha thamani ya mtoto na ya mbwa,never hata kiuumbaji Mungu alimpendelea zaidi binadamu
Una upungufu fulani wa akili kichwani mwako, ebu kajipime tena. Yaani mwanao apande juu ya mti na kupiga mbwa wangu mawe makusudi kisa mtaa ni wa waislam, huu ni uungwana? Niliwalalamikia wazazi wao juu ya watoto wao kufanya hivyo lakini wapi, walionekana kama hawajali. Walikuja juu tu baada ya mtoto wao kuraruliwa na mbwa ndipo wakanipeleka Mahakamani. Simzuii mtu yeyote anayejitakia matatizo nami, mimi na mbwa wangu tunawakaribisha, hata wewe unakaribishwa pia kuja kuturushia mawe.
 
Shukuru umekutana na wazazi wastaarabu sio watu wa visasi yaaani mchukue Mwanangu ufanye ulichotenda kisha nikuache aiseee utajua hujui😬
Mtume mwanao aje kupiga mbwa wangu kisha uje kuzungumza haya. Atakachokipata yeye na wewe mtabaki kushangaa kuwa dunia ina watu.
 
Wewe ni mbongo halisi na itabaki kuwa hivyo,upeo wako tuu waonesha,there was a thousands of options you could have done rather than your pathetic and inhumanity actions to a kid
Hata watetezi wa haki za wanyama hawawezi kukutetea juu ya upuuzi uliofanya,ila sikushauri uache endelea hivyo kuexpose mbwa Koko wako kwa watoto wadogo na ukiwakuta wakamate uwang'atishe kwa mbwa ila soon you will get what you deserve
 
I repeat, you gotta be stupid or something insane is bothering your ass. You are talking about inhumanity without even thinking, do you know what inhumane is as a vocab? Ask your stupid ass, is climbing a tree and hitting sleeping dogs with stones humane? Mtu alishaonywa countless times na wazazi wake wakaambiwa but didn't care warning their child wanamwacha tu akifanya ujinga, is this my dumb problem? Asiyefunzwa na wazazi......?
 
Waafrika wengi wana matatizo ya kiakili.

Hukuona mfano askari polisi wa Kenya 2000 wana matatizo ya akili
Hao ndio Askari wanaofanya patrol na kuwachunga wananchi
Sasa raia wa kawaida ndio kabisa tunatishwa kwa maneno tu
 
Ni tabia mbaya sana.

Inaonesha ambavyo nafsi zetu ni katili, zisizo na huruma na ushamba
You nailed it!! Nafsi ya Mtu katili asiyekuwa na cheo inaonekana katika mateso anayoweza mfanyia mnyama asiyekuwa na hatia!!
 
Nikikumbuka mbwa wangu watatu niliowapoteza kwa kulishwa sumu dah ni zaidi ya maumivu tena wote walikufa siku moja..
Wewe ndio mimi, dogi wangu alikufa hadi leo nimekuwa mpweke sana.
 
Hukuona mfano askari polisi wa Kenya 2000 wana matatizo ya akili
Hao ndio Askari wanaofanya patrol na kuwachunga wananchi
Sasa raia wa kawaida ndio kabisa tunatishwa kwa maneno tu
Aisee hatari sana na nina uhakika hata hapa Tanzania mapolisi wengi ni vichaa ila ndiyo hivyo tena hawajijuwi
 
Kuna hawa wanaotomba mifugo wakamatwe walipe faini wafungwe


Sasa bora hizi chips funga zingehamia vijijini wana umuhimu sana hawa wadada
 
Mi napenda wanyama haswa paka nawapenda sana
Kuna siku niliona video mtu kaweka stastus inaonyesha jamaa kamkaba paka shingon anamkandamiza huku akipiga pushup jamani niliumia sana yule paka alikuwa analia jamani nahisi alimuua
Mi siwapendi PAKA, Mbwa Koko,
Kuna mbwa wana faida, sio mbwa wanatiana hata mbele ya watu
 
Mi wangeshangaa hawaioni paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…