Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

Mtu anadaiwa kodi ya nyumba, ana mgonjwa, hela hana, anaumwa njaa n.k halafu mbwa koko apite karibu yake yaani hicho kitofa cha uso atakachokula hutoamini au kunguru ajichanganye kwenye paa la chuma alichopanga kwaaaa kwaaaa yaani atakavyotifuliwa manyoya hatoamini but all in all its natural hatred against animals.
 
Wengi ni laana na uporaji wa mali za masikini na wengine msongo wa mawazo unachangia
Hawana maisha mazuri na kwa kuwa wanachukiwa inakuwa vigumu kujichanganya na watu wa kawaida
Uyasemayo ni kweli kwao kutokuwa na maisha mazuri, lakini yote hii inatokana na ukweli kuwa hata maboss wao wanajuwa kuwa ile kazi imejawa na laana tu na ndiyo maana hata maisha yao ya uraiani baada ya kustaafu ni full vituko. Uje sasa wanakoishi kwenye kota zao, vyoo vimejaa mavi mpaka nje ya mlango, wake zao wakiliwa uroda na wenzao....yaani laana tupu tu.
 

Toba
Maskini hao ni wa kuwahurumia tu maana ni majanga tu
 
Unakuta Mbwa jike na Dume wananyanduana na kwa kawaida huwa zinang'ang'aniana. Sasa watakula kipigo hao mpaka waachiane.

Kiukweli ni roho ya kikatili tu. Si kwamba unakuta mnyama ana kosa wala nini ila ni vile tu sisi ni wakatili.
 
Aise hongera sana utakwenda peponi
wasukuma wananiuzi sana hawajui kutunza punda kama wamasai
 
Kuna siku nilikiwa namfukuza paka mmoja hivi alipita mbele yangu,basi tumefukuzana weee gafla kuna panya alijichanganya mbele ya yule paka..kudadadeki yule paka mpuuzi sana eti akaunganisha root na kuanza na yeye kumfukuza yulee panyaa.
basi ikawa panya mbele,paka kati na mimi nyuma....daah kushtuka tumetokezea nyumba moja ina mbwa mmoja mbabe hatari...ile paaaah huyu hapa wo!wo!wo!wow! akaniungia mi nyuma yangu.weeeee ! nilikula kona ya gafla zilipigwa breki za gafla vumbiii tu..tukachanganyana pale kila mmoja kuokoa maisha yake...vumbi lilipotulia nikajikuta nipo uelekeo mmoja na yule panya, yeye mbele mimi nyuma..

nahisi yule panya sijui alikuwa anajua mimi bado yu paka....kumbe maskini mimi sikuwa hata na time nae,nilikuwa najiokolea maisha yangu tu...wale paka na mbwa nao sijui waliunga na uelekeo upi...maana lile timbwili lilikuwa la kushtukiza ....
 

Una miaka mingapi
 
Huyu jamaa atakuwa ametupanga weee hahahaha
 
Yani kunguru apite mbele yangu akae site nzuri jiwe linamuhusu
Na hii ndiyo laana imayotuhusu wengi tuu kwani huwezi jua kunguru anataka kukuepusha na nini. Hivi kunguru akitua jalalani kula mzoga wewe inakuuma nini hasa??
 
Na hii ndiyo laana imayotuhusu wengi tuu kwani huwezi jua kunguru anataka kukuepusha na nini. Hivi kunguru akitua jalalani kula mzoga wewe inakuuma nini hasa??
Kwani kuna shida??kama laana ushalaanika na vingi tu laana za kunguru hakuna tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…