Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

Yani mimi kupiga mbwa koko aliyeko Road, ambaye anayemfuga anashindwa mjali kwa msosi qnakuja kuwinda kuku wangu inaleta laana katika ukoo wangu.
Na niipate kwa kweli na mwenye mijibwa yake tutagawqna hiyo laana wallah
 
Unasemaje roho za kishetani na kutomtambua Mungu!?

Hujaenda nyumba ya mlokole anayemiliki maji ya Bulldozer, Hadi mende, mjusi huwa anamwagiwa maji, na kupigiwa kelele shindwaaaaah!
 
Bado wana akili za babaric. Unaweza ona mtoto anafukuza paka wakati huyo paka hana time na yeye yuko bize tu kujitafutia panya na vijusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…