#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

msimamo wa watanzania juu ya corona ni

1,corona ni ugonjwa wa mafua kama yalivyo mengine,na yuko tayari kuishi nao.
hata mheshimiwa anajua hilo,labda kuna namna anatafuta kuridhisha watu fulani.
Don't generalize. Not all Tanzanians including myself are against the vaccine. "Ni wewe tu na wengine waina yako mliokaririshwa na kulishwa dhana potovu ndiyo mnaopinga". It is simple: Take or don't take it.
 
Don't generalize. Not all Tanzanians including myself are against the vaccine. "Ni wewe tu na wengine waina yako mliokaririshwa na kulishwa dhana potovu ndiyo mnaopinga". It is simple: Take or don't take it.
kinyume na matakwa ya kusafiri nchi za watu hakuna mtu na akili timamu atachanjwa hiyo chanjo,labda wagonjwa wa akili.
 
SAWA WALETE WASIJE WAKALETA MZIGO UTAKO EXPIRE PASIPO KUTUMIKA, NI HASARA KWA TAIFA
Kuna program inaitwa COVAX, chanjo za bei rahisi na kwa nchi nyingine wamepewa bure. Na wanaweza kuleta, zikauzwa;

Swala la muhimu, kina Gwajima wasizuie wenzao kupata chanjo kwa masuala ya imani. Ni kama nguruwe na pombe; kuna imani zinakataza, lakini zipo. Ukitaka kanunue.
 
Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo
Hivi umetumia mechanism gani kujua kila mtu anasemaje kuhusu hilo mtaani kwenu?!?
 
Zamani kwenye history tulikua na vijipoint flani flani kwenye topic ya neo-colonialism kwamba wazungu bado wanaitawala Africa kutokana na baadhi ya viongizi wa africa ni purpet leaders.Enzi hizo bado nilikua sielewi hyo concept vizuri sasa saiv ndo naielewa na kuona uhalisia wake
 
Sababu kuu inayowafanya baadhi ya watanzania kukataa chanjo ni UJINGA
 
Yaani hawajui hata wanacholaumu.

Unalaumu wazungu kuhusu CORONA wakati Corona imeanzia China?

Huziamini chanjo: Je, huziamini chanjo zipi: Astra Zeneca, Moderna, Pfizer au Sinovac ya Mchina ?
Hivi katika hizi ulizotaja hapo aliyotengeneza muhindi ni IPI hapo?
 
Sasa huo mpango wa COVAX FACILITY, watakuingizaji iwapo hauna taarifa za waathirika wanaoweza shawishi wakuingize kwenye huo mpango, bado mtihani kweliweli. Otherwise uje mpango wa kuanzisha ving'ola vya ambulance, na kufungwa majumba ya ibada, hata kwenda sokoni kuwe kwa muda maalum, hapo takwimu zitapatikana kiurahisi, na hapo kukithi vigezo
 
Kama ulisikiliza siku ya kukabidhi report ya Covid 19, serikali haikusema chanjo ni lazima, ilisema chanjo ni hiari. Wanajua bado kuna watu wako na njozi za mwendazake, kwa hiyo hawawezi kulazimisha. Muda utafiki hata wale wenye mawazo ya mwendazake wataelewa na maisha yatakwenda vizuri. Wapewe muda maluweluwe yawatoke kichwani.
 
Taarifa za waathirika zipo, na wala sio lazima kusemea TBC, wanaweza wakawapa WHO na CDC Afrika na mambo yakaendelea
 
Huyu nae anatuchanganya tu hapa ili tufe
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…