#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Darasa la saba huwezi kuelewa kitu ndio maana huwezi jibu kwa hoja.

Umekaza mabeberu huku kuanzia boxer uliovaa mpka smartphone unayotumia kuandika ni ya beberu..
We kuwadi la mabeberu unahangaika sana na hayo machanjo yako waliyokupa.

Sijui wamekupa tani ngapi za chanjo maana zinakuwasha hatari.

Umezificha wapi hizo chanjo?

Ningejua ulipozificha ningeenda kuzitia kiberiti ili hao waume zako wakufukuze kazi ya ukuwadi ukatafute kitu kingine halali cha kufanya.
 
Sasa ngoja nikupe tip, kabla sijachoma unapima damu kama umeshawahi kuugua Corona karibu nimepima sikuwa nimeugua nimepata Jab ya kwanza baada ya miezi 3 nitaenda kumalizia nyingine sasa safari wewe utayaona watu wako wapi maana nikisema niko wapi na nimechoma wapi haitakusaidia kitu na taarifa yake chanjo ni bure tu siku ya usiku ile nilisikia miguu kuuma tu kidogo sikutumia dawa hata panadol siku pili niko fine ikipita miezi 3 nitachukuwa second jab na certificate ninayo kwenye simu.
Mbuzi wa sadaka huwa hamkosekani.

They are looking for fools like you who will succumb to toxic vaccines without questioning.

Umeshadungwa machanjo yenye sumu unajifariji kwa kukenua... ati "kamguu kaliuma kidogo tuuu"! Hahaha...

Umelishwa sumu....... unakenua tu!
 
Mjinga mimi au nyinyi mlionyweshwa kikombe na babu wa loliondo. Kuna mijitu mijinga nchi hii utasema tumelaaniwa uko unakokimbilia hospital unaenda kula mizizi. Jinga kubwa
 
Hata kufikiri mtu anaweza kuwa anaijua tandale peke yake ni upungufu wa fikira.

Ungekuwa unazurula duniani ungekiri kuwa chanjo haifai.
Haifai Tanzania na Burundi tu dunia nzima wajinga? Nchi hii kuna watu waajabu sana piga kelele viongozi na hiyo kamati imeshatoa tamko chanjo ni salama huwezi hamia Burundi. Imeshapita hiyo.
 
Mbuzi wa sadaka huwa hamkosekani.

They are looking for fools like you who will succumb to toxic vaccines without questioning.

Umeshadungwa machanjo yenye sumu unajifariji kwa kukenua... ati "kamguu kaliuma kidogo tuuu"! Hahaha...

Umelishwa sumu....... unakenua tu!
Mbuzi wa sadaka ana baraka. Umbwa hawana baraka
 
Haifai Tanzania na Burundi tu dunia nzima wajinga? Nchi hii kuna watu waajabu sana piga kelele viongozi na hiyo kamati imeshatoa tamko chanjo ni salama huwezi hamia Burundi. Imeshapita hiyo.
Nisikilize kasuku.

Corona ni threat si ndio!!!!
Chanjo ni salama si ndio!!!
Na ni muhimu kwa watu si ndio!!

Kwanini serikali inafanya ni option kuchanjwa,dunia nzima,dunia gani unayoizungumzia!!!unasikiliza hata vyomba vya habari kweli au unaimba imba tu??
 
Wewe nadhani uko out of coverage. EU wameshatangaza hujachanjwa huwezi kuzurura free this summer. UAE hujachanja huruhusiwi kwenda kazini, Waislamu hujachanja huruhusiwi kwenda Hajj. Huambiwi lazima itakuwa kinyume na haki za binadamu ula utakosa mengi ya lazima utabanwa mwisho utachanja mwenyewe. Nchi zote sio lazima ila nchi kama Italy wafanyakazi wa afya ni lazima chanjo sio hiyari na UK. Utalazimishwa kwa namna nyingine bila kuvunja haki ya mtu na mtu kuamua ni kama chanjo za watoto walikataa mwanzo leo mashuleni mtoto hana clinic hawakupokei ni moja ya matakwa leo watoto wote wanachomwa.
 
Mjinga mimi au nyinyi mlionyweshwa kikombe na babu wa loliondo. Kuna mijitu mijinga nchi hii utasema tumelaaniwa uko unakokimbilia hospital unaenda kula mizizi. Jinga kubwa
Nyie makuwadi wa mabeberu mnatakiwa mtandikwe mboko!

Hizo chanjo mlizozificha ni bora mzichome moto tu!

Ukienda mtaani uwaambie watu eti unawadunga chanjo watakupasua hautaamini.

Ni bora mbaki tu mitandaoni muendelee kupiga domo.
 
Nisikilize kasuku.

Corona ni threat si ndio!!!!
Chanjo ni salama si ndio!!!
Na ni muhimu kwa watu si ndio!!

Kwanini serikali inafanya ni option kuchanjwa,dunia nzima,dunia gani unayoizungumzia!!!unasikiliza hata vyomba vya habari kweli au unaimba imba tu??
Na wanatoa covid 19 digital passport sasa chaguo lako.
 
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.

Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.

Mapendekezo yangu

1) Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa

2) Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea

3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo

4) Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Wamethirika sana kiuchumi, na wanaona namna peka ni kuikubali ili maisha yaendelee, na kumbuka ni wachache sana watakaokubali kuchanjwa
 
Wewe nadhani uko out of coverage. EU wameshatangaza hujachanjwa huwezi kuzurura free this summer. UAE hujachanja huruhusiwi kwenda kazini, Waislamu hujachanja huruhusiwi kwenda Hajj. Huambiwi lazima itakuwa kinyume na haki za binadamu ula utakosa mengi ya lazima utabanwa mwisho utachanja mwenyewe. Nchi zote sio lazima ila nchi kama Italy wafanyakazi wa afya ni lazima chanjo sio hiyari na UK. Utalazimishwa kwa namna nyingine bila kuvunja haki ya mtu na mtu kuamua ni kama chanjo za watoto walikataa mwanzo leo mashuleni mtoto hana clinic hawakupokei ni moja ya matakwa leo watoto wote wanachomwa.
Sasa nilipokwambia utachanjwa bila hiyari yako hukuelewa!!!
Ukichanja chanjo hii ambayo haijafaulu majaribio bado kwa hiyari yako,basi una tatizo la akili.

Hata wewe unajua hilo.
 
Nyie makuwadi wa mabeberu mnatakiwa mtandikwe mboko!

Hizo chanjo mlizozificha ni bora mzichome moto tu!

Ukienda mtaani uwaambie watu eti unawadunga chanjo watakupasua hautaamini.

Ni bora mbaki tu mitandaoni muendelee kupiga domo.
Kuna mtu alikwambia lazima ukachome? mtaani wananihusu nini mimi? Serikali imeshasema chanjo salama kwisha na hakuna mtu kasema ni lazima hiyari ni wewe unayepiga kelele utasema umelazimishwa na kuongelea watu kama umetumwa. Mimi naongelea mimi hayo ya mtaani yanakuhusu wewe na jirani zako.
 
Sasa nilipokwambia utachanjwa bila hiyari yako hukuelewa!!!
Ukichanja chanjo hii ambayo haijafaulu majaribio bado kwa hiyari yako,basi una tatizo la akili.

Hata wewe unajua hilo.
Sio mbaya tukiwa vichaa wengi duniani
 
Hapo ndopo turufu ya huo itapeli ilipo.

Kinyume na hapo hakuna ambaye angechanjwa.
Mbona Yellow fever hukusema utapeli. Science imeshinda leo hii dunia inafunguka Israel hakuna tena kuvaa mask wala hawana wagonjwa sababu wamechanja watu wao, UK wanafungua mpaka viwanjani sababu chanjo wagonjwa kwisha, Italy na France wamefungua, USA wamefungua hawana wagonjwa sababu population wengi wamepata chanjo. Chanjo imeshinda na number zinasema sio dhana tu nchi walizochoma watu wao chanjo imeonesha ugonjwa sio tishio tena unataka kuona nini zaidi ya number?
 
Unazungumzia kuvaa mask kama kielelezo cha kuchanjwa!!!!sisi hatuvai,tumechanjwa lini ndugu yangu??

Unajua israel ni % wamechanjwa!!!UK nako je??
 
swali langu ni moji tu, Na hakuna hata mmoja amenijibu.. ikiwa chanjo ina ufanisi kwanini maambukizi bado yanaendelea duniani especially zile nchi zilizochanja wananchi wake? Mfano India na Brazil.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom