Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Nani kakudanganya?Kuna tofauti ya kuwa na hela na umaarufu hao jamaa pesa wanayo Ila sio maarufu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakudanganya?Kuna tofauti ya kuwa na hela na umaarufu hao jamaa pesa wanayo Ila sio maarufu sana
Nani huyo?Dah na mjukuu wake anauza genge la nyanya huko Tanga vijijini
Kwa hizi codes Greatest Of All Time upo sahihi.Jana nimetoka kwenye maziko ya Lowassa mapema.
Kwenda stendi nikakuta daladala tupu,hakuna mtu wa kusafiri.
Halafu Jana yule mwanajeshi,nani sijui,five-star general,kanipita pale na genge lake,halafu akaniamkia,"shikamoo".
Nikabakia bemused,not knowing what was going on.
Nikamuuliza mtu mmoja,"Yule kule nani?"
Akasema,"I don't know"
Nilipoona hakuna gari nikaamua kutembea. Ni kilomita 14 mpaka njia panda.
Wakanipita wale viongozi wote,kuanzia na huyo Rais Samia.
Nimepita kule porini,nawaza fisi anaweza kutokea wakati wowote. Au Simba.
Nilipofika kule mbele MP(Military Police) akanikataza kutembea. Akasema,subiri daladala pale kwenye kituo.
Nilipopanda daladala pale nikaona nauli imepunguka kwa sh.500.
WATOTO wa wakubwa wakipendelewa mnalalamika wasipopendelewa tunanasema spoon feeding …… baba Yao Akiwa rais watoto wa nyerere watatu wa kuzaaa wanaenda VITANI …..mmoja kama Askari wa miguuu na Wawili kama Maafisa jeshi [ marubani ] ….spoon feeding anaweza kumaliza mafunzo ya kijeshi ndani na nje ya nchi??Hawajiongezi
Spoon feeding
Andrew alishafariki mkuuAndrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?
Mbona shalijibu siku nyingiWanalikwepa wanafanya kama hawalioni
Kwani Joseph Butiku baba yake ni nani?WATOTO wa wakubwa wakipendelewa mnalalamika wasipopendelewa tunanasema spoon feeding …… baba Yao Akiwa rais watoto wa nyerere watatu wa kuzaaa wanaenda VITANI …..mmoja kama Askari wa miguuu na Wawili kama Maafisa jeshi [ marubani ] ….spoon feeding anaweza kumaliza mafunzo ya kijeshi ndani na nje ya nchi??
Kimsingi tukubali kuwa watoto wa viongozi waliofuatia baada ya Mwalimu wamebebwa sana …ni kama tunakua na Ufalme hivi …….. , na pia viongozi waliofuatia kidogo hawajafanya juhudi sana kuwabeba watoto wa viongozi wa ADAMU ya kwanza ….wamejenga himaya mpya
Sio dini ni kanisa..... kaangalia documentary moja inasema the dissappearence of Emanuela Orlandi in the VaticanMzee mchonga Alifanya dhambi gani tena " sijuzi juzi Dini yenu umetoka kumtangaza kuwa ni mwenye Heri !!
Akili mingi,Jana nimetoka kwenye maziko ya Lowassa mapema.
Kwenda stendi nikakuta daladala tupu,hakuna mtu wa kusafiri.
Halafu Jana yule mwanajeshi,nani sijui,five-star general,kanipita pale na genge lake,halafu akaniamkia,"shikamoo".
Nikabakia bemused,not knowing what was going on.
Nikamuuliza mtu mmoja,"Yule kule nani?"
Akasema,"I don't know"
Nilipoona hakuna gari nikaamua kutembea. Ni kilomita 14 mpaka njia panda.
Wakanipita wale viongozi wote,kuanzia na huyo Rais Samia.
Nimepita kule porini,nawaza fisi anaweza kutokea wakati wowote. Au Simba.
Nilipofika kule mbele MP(Military Police) akanikataza kutembea. Akasema,subiri daladala pale kwenye kituo.
Nilipopanda daladala pale nikaona nauli imepunguka kwa sh.500.
Capt Andrew yuko Hai na juzi aliongea kwenye mikutano mmoja wa chadema arusha …..Andrew alishafariki mkuu
Butiku alikuwa Katibu wa Nyerere …..watoto wa Mwalimu huwa wanamlaumu kuwa wakati baba Yao Akiwa busy na kazi ni yeye alitakiwa kufanya kazi ya kuweka mambo Yao sawa ……..akawa anajinufaisha BinafsiKwani Joseph Butiku baba yake ni nani?
Alaa! Kumbe kwamba alikuwa katibuButiku alikuwa Katibu wa Nyerere …..watoto wa Mwalimu huwa wanamlaumu kuwa wakati baba Yao Akiwa busy na kazi ni yeye alitakiwa kufanya kazi ya kuweka mambo Yao sawa ……..akawa anajinufaisha Binafsi