Tukisema Mwl hakuwaandaa sio kweli maana watoto wake wote wana elimu nzuri tu, na hayo ndo maandalizi tosha, Kinachotakiwa ni viongozi Kuwashika mkono, hilo ndo linakosekana, kwani hata hao watoto wa Mwinyi na Karume wana pata support kwa kushikwa mkono, sasa katambi ana elimu gani na uzoefu upi kumshinda Makongoro nyerere? , hata Uhuru Kenyatta alikuwa introduced by the system na Moi baadae Mwai kibaki akamteua kwenye serikali yake kuwa waziri wa fedha na safari yake ikaanza hivyo, kumbuka Mwai na Uhuru ni mtu na mtoto wake.
Usanii wa CCM ndo mtakapo ujua, kwenye shida utawasikia Mwl nyerere alisema hivi , ni wanafiki kuliko watu wote duniani.