Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwani Mzee Mchonga Ndio Nani Maana Kusoma Kwngu Kote Vitabu Sijawah Kuona Jina Kama Hili MZEE MCHONGA Nijuzeni Wajuzi Wa Mambo? Nawasilisha Swali Langu La Nyongeza
Naunga mkono hoja. Wengi wao wapo tu wanatunzwa na kodi zetu.
Ukijua kuongea kingereza kilichonyooka ndiyo nn eti tujize mm mwanangu anaongea kingereza kilichonyooka anafaa kuwa raisi wako
Anakaa kwao mpaka leo, anatumzwa na kodi zetuVipi kuhusu mzee Madaraka Nyerere? Mbona anaonekana kichwani yupo biyeee.
Kusoma sana ni nini na mtoto gani wa Nyerere kasoma sana?Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
Pesa gani hizo? Mijitu mikubwa na mvi zao bado inamtegemea mama yao!Kuna tofauti ya kuwa na hela na umaarufu hao jamaa pesa wanayo Ila sio maarufu sana
Yuko wapi siku hizi?Andrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?
Bange za mzee waoHiyo familia inaonekana watoto wa kiume wana matatizo kwenye afya ya akili.
Kuna kipindi niliwahi kumuona ndani katika hospital ya wasiojulikanaYuko wapi siku hizi?
Sio kweli walishapewa nafasi kibao kuanzia ubunge ndani ya CCM na upinzani .Lakini sio sahihi watoto wa viongozi kubebwa kwa spoon feeding .Watoto wa Mwinyi,Mkapa,Kikwete na mawaziri wakuu Akina Cleopa Msuya,Malechela,Kawawa mbona wanajibeba wenyewe?wale ni wajamaa asilia
Hata wa kike hawako vizuriHiyo familia inaonekana watoto wa kiume wana matatizo kwenye afya ya akili.
Emilio Mzena nini?Kuna kipindi niliwahi kumuona ndani katika hospital ya wasiojulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA wanahakikisha ujamaa ule haurudi ila wamechelewa kuwa kuna wengine kina jpm tayari wanauchungu na nchi hii!
Makongoro pia amekuwa Mbunge wa EA,Mtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu