Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwani Mzee Mchonga Ndio Nani Maana Kusoma Kwngu Kote Vitabu Sijawah Kuona Jina Kama Hili MZEE MCHONGA Nijuzeni Wajuzi Wa Mambo? Nawasilisha Swali Langu La Nyongeza
Ni mchonga meno siyo mchonga maneno!
[emoji3][emoji3][emoji3] jamaa alichongaga meno yako hapo zamani zq kale!