Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume

Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.

Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Ndugu kwanini huzungumzii familia yako? au utawala kwenye Nchi hii nikwaajili ya watu fulani

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu "aliwatupa" mwenyewe watoto wake. Kuna siku Madaraka alikuwa anahojiwa kwenye TV -TBC, alidai kuwa alienda kusoma nje ya nchi kwa msaada wa jamaa mmoja, (Mzee Dossa) baba yake akiwa ni Rais.
Akaulizwa alichokosa baada ya baba yake kufa, alidai, sana sana ushauri, na ile kukosa baba. Sio amekwama kifedha angeweza kumtegemea kuwa angepata kwake.
Pia, mwangalie Makongoro. Alikuwa mwanajeshi. Wenzie alioanza naye wakawa wanapanda vyeo, yeye aliishia vya chini. Wengi wa watoto wa marais, wana nafasi kubwa kupata vyeo vikubwa jeshini. Kabila mtoto, miezi sita tu huko Arusha, akaruka na U - mejajenerali! Mwangalie mtoto wa Mseven, Kagame nk.
Kwani Malezi ya hawa Watoto yalitakiwa yatoke tu kwa Mwalimu ( Baba yao ), ila Mama yao aliyewaharibu Kimalezi walipokuwa Ikulu hana Kosa?
 
Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume

Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.

Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatkoana na nini?
sio lazima
 
Wakipata nafasi kubwa kubwa ndani ya Serikali watapata ushahidi dhahiri wa kisa cha kifo cha mzee wao. Watawala walishakula kiapo cha kutunza chanzo cha kifo.
Hili jipya na kwenye hypothesis sikutegemea kusikia kabisa - kwani kifo chake familia inakitilia mashaka? There might be other strong reasons than this i.e kuwaandaa watoto, makuzi na malezi, uimara wa kiuchumi na kijamii nk nk
 
Lakini Mwalimu alikuwa na watoto wengi mmoja wao alikuwa classmate Mkwawa High school, alikuwa Emily Magige,kama sikosei alisoma shahada ya Engineering USDM miaka ya sabini.
Sio huyo tu kaka zake walikuwa wanajeshi maofisa wenye ujuzi.
Sasa huyo Emily Magige kwa sasa yuko wapi???
 
Watoto wa Mwalimu Nyerere hawakuandaliwa vyema kwa "kazi kubwa" ! Mwalimu alikuwa busy sana na mambo ya Uhuru na Ukombozi wa Afrika!

Katika kufeli kwa Watoto wa Mwalimu Nyerere ,Mama Maria anaomchango mkubwa sana!
Watoto wengi uaribika kimalezi kama mama ni legelege na si mentor mzuri.

Pia waliomzunguka Mwalimu Nyerere akina Joseph Butiku walikuwa watu wabinafsi sana na wasiomwambia Mwalimu ukweli kuhusu malezi ya familia yake.

Walibaki kumwabudu na kumsifia tu Mwalimu bila kuangalia succession plan yake.
Familia ya Mwalimu Nyerere imedhihirisha kabisa kuwa " Leaders are made and not born"!

Kwa akili (IQ) aliyokuwa nayo Mwalimu Nyerere hata kama angeoa mwanamke " dull" kiasi gani lazima angezaa " nyoka" walau mmoja au wawili!
 
Huu unaitwa ukweli mchungu you nailed it!
 
Kalimanzila, nakuelewa elewa - sasa wanapungikiwa? Hawajasoma? Hawakubaliki ktk jamii zao? OK pamoja na mengine nimekupata
 
Labda hawapendi vyeo, unajua wasoshalist wengi tunapenda maisha ya kawaida tu, si munamuona hata Mahatim Ghandi alivyokua
 
Back
Top Bottom