Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,521
- 1,906
Duh! atakuwa kakuchukulia binti yako. Dah!Huyo jamaa mda wote kalewa huku yuko na vibinti vidogo sawa na wajukuu zake,yani hakuna akili hapo ni mlevi mbwa huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! atakuwa kakuchukulia binti yako. Dah!Huyo jamaa mda wote kalewa huku yuko na vibinti vidogo sawa na wajukuu zake,yani hakuna akili hapo ni mlevi mbwa huyo
Hali itakuwa hivo hivo hata kwa watoto wa Magufuli. Save this comment for future use.Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume
Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.
Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Tuhuma za rejareja ni kitu kibaya sana na matusi juu. Ndicho nilichotaka kukukumbushaLabda mimi ndio nimchukulie binti yake
Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume
Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.
Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Kwani Tanzania ni nchi ya kifalme?Wanabodi, Salaam!

Kabla ya Kulihoji hili Kwanza ulizia Maisha yao Binafsi hawa / hao Watoto wa Hayati Mwalimu Ndugu. Acha Kuwatafutia Shida Kubwa Watanzania.
Ni demokrasia inafanya kazi tu mkuu
Mbona na Uhuru Kenyatta anapiga bilauri kisawasawa.Kwa ulevi wa Makongoro unampa cheo gani ambacho atakimudu? Vyeo hawapati kutokana na familia ila na uwezo pia
Tulie nae alindaliwa na nani?Watoto wake hawakuandaliwa
Hapo sasa ni mambo ya wazazi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sijui yupo wapi.Sasa huyo Emily Magige kwa sasa yuko wapi???
And always karma is a bitchKarma
Una uhakika na unachoandika? Mhe. Hussein Mwinyi amefanya kazi Kairuki Memorial Hospital kabla hajaingia serikalini. Taarifa zingine tafuta mwenyewe.Watoto wa Karume na Mwinyi walibebwa na system wakati watoto wa Nyerere hawajawahi kubebwa popote. Huyu Mwinyi alitoka shule tu na kupewa unaibu waziri baada ya baba yake kuondoka madarakani, na tangu hapo hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya kuwa anateuliwa uwaziri miaka yote hadi sasa anakuwa rais. Alisomea udaktari lakini hajawahi kuandika prescription yoyte hata ya kutibu mafua.
Watoto wa mwl ni mazuzuWanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume
Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.
Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Alifanya kwa miezi mingapi? Kwa sababu aliteuliwa waziri mdogo mwaka 1995- ambapo alikuwa bado angali anasoma uzamili kwani alihitimu uzamili mwaka 1997. Baada ya miaka mitano ya uwazili mdogo ndipo akaenda kugombea Mkuranga!Una uhakika na unachoandika? Mhe. Hussein Mwinyi amefanya kazi Kairuki Memorial Hospital kabla hajaingia serikalini. Taarifa zingine tafuta mwenyewe.
Hahahaaa kweli, jamaa kakazana na familia za watu yeye kaona wao mabogus.Ndugu kwanini huzungumzii familia yako? au utawala kwenye Nchi hii nikwaajili ya watu fulani
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kwani Makongoro ndo mtoto pekee wa Nyerere?Kwa ulevi wa Makongoro unampa cheo gani ambacho atakimudu? Vyeo hawapati kutokana na familia ila na uwezo pia
Hata wa mkapa pia.Hali itakuwa hivo hivo hata kwa watoto wa Magufuli. Save this comment for future use.