Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu baki waendeshe sio mitoto yakee aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,biashara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri basi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Leo naona akili imekaa sawa, watoto wa viongozi wa CCM wanaandaliwa kuja kuiba mali za umma na kuficha ufisadi wa wazazi wao
 
Wengi wao ni wavivu wa kufikiri, hawana plan B yoyote kwenye maisha yao, wamejiegemeza kwenye teuzi ndio maana wakitumbuliwa wanaanza kulia kwa kuchora vikatuni twitter, wao huona kuibia watanzania kura zao ndio sifa kuu inayowafanya waendelee kuteuliwa hasa uwaziri, ni wajinga.
 
Wamejazana taasisi zote nyeti.

Na nafasi zote muhimu.

Na nafasi za kisiasa pia wamezikamata.
Baada ya dikteta kufa akili zimewarudi, mkiambiwa tudai katiba mpya mkubali, nafasi nyeti watu wafanye open interview kama Kenya na siyo kuteuana kwa kubebana tupu.
 
Wengi wao ni wavivu wa kufikiri, hawana plan B yoyote kwenye maisha yao, wamejiegemeza kwenye teuzi ndio maana wakitumbuliwa wanaanza kulia kwa kuchora vikatuni twitter, wao huona kuibia watanzania kura zao ndio sifa kuu inayowafanya waendelee kuteuliwa hasa uwaziri, ni wajinga.
Kwanini waumize akili na wakati kuna mali za bure za wajinga?
 
Ipo hivi 90% ya wafanyabiashara wakubwa wengi awajasoma so wanajikita kuwasomesha zaidi watoto wao kuliko kuwapa connection za kusimamia biashara Ili waziendeleze zaidi. Thus unakuta baba ni tajiri lakini ana mawazo ya mwanae aajiriwe.
 
Lucy Awenya wa Ndesamburo alipewa Ubunge lakini Ndesamburo alikuwa na makampuni.

Mbowe alimtuma mke mkubwa wa Doctor Slaa akiambatana na watoto wake, akamlipia Hotel Serena kwenda kumchana na kumdhalilisha Dr Slaa kwa malipo ya Ubunge.

Hawala wa Mbowe miaka yote yeye Ni viti maalum huko bungeni.

Wanasiasa wote nchi hii WANAFANANA.

UKiwa mpumbavu nchi hi, UTAWAPIGIA KURA baada ya KUSIMAMA SAA 12 JUANI kwenye Foleni, wasipotangazwa kushinda utaandamana utapigwa kushinikiza watangazwe.

Na ukiuawa picha zako ,wajanja wanaharakati watazituma kwa wazungu wapige PESA.

Zindukaaaaa
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
Hapo kwenye kusimamia miradi ya wazazi ni ngumu sababu wazazi wengi wa kibongo hawataki kuwashirikisha watoto wao, wanaona watafaidi kiulaini......hivyo na wao watafute mali za kwao
 
Lucy Awenya wa Ndesamburo alipewa Ubunge lakini Ndesamburo alikuwa na makampuni.

Mbowe alimtuma mke mkubwa wa Doctor Slaa akiambatana na watoto wake, akamlipia Hotel Serena kwenda kumchana na kumdhalilisha Dr Slaa kwa malipo ya Ubunge.

Hawalazimishi wa Mbowe miaka you yeye Ni viti maalum huko bungeni.

Wanasiasa wote nchi hi WANAFANANA.

UKiwa mpumbavu nchi hi, UTAWAPIGIA KURA baada ya KUSIMAMA SAA 12 JUANI kwenye Foleni, w
asipotangazwa kushindana utaandamana utapigwa kushinikiza watangazwe.

Na ukiuawa picha zako ,wajanja wanaharakati watazituma kwa wazungu wapige PESA.

Zindukaaaaa
mi biashara hiyo kichaa ya kusimma kwenye foleni siifanyi unless niwe ni mnufaika wamgombea
 
Watoto wangap hao wa wanasiasa wakubwa ambao wameshindwa kujiajiri
Taja watt wa mramba wako wap
Fred lowasa kabla ya ubunge alikua wap
Wtt wa iddi simba nk
 
Back
Top Bottom