Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

Utapataje kaz wakati una vyeti fake ww mjinga na mpumbavu. Kafiye mbali na utakuwa na shinda mitandaoni na majina fake kila siku. Mara, sexless. Mwambie mjinga ananeyekutuma, huyo Makamba akupe hata, kaz ya ufagiz.
Mbona Sasa hivi nimeipata kazi baada ya ajira kuwa nyingi sana serikalini na private sector. Tena Niko sekta nyeti serikalini. Sema jpm nchi ilimshinda tu na one day jeshi lingempindua tu. Heko mama kwa kuondoa kizuizi Cha eti kujiunga jeshi mpaka upite jkt. Jpm alisababisha maisha yakawa magumu sana na ajira ikawa hamna tena na mbaya zaidi eti vyeti feki. Lini Tanzania hapa kukawa na vyeti feki. Ukitumia akili utagundu hakukuwa na vyeti feki Bali waliofukuzwa kazini ni wapinzani na mahasimu I ake tu
 
Nadhani kwa afrika tunahitaji viongozi aina yake kwa wingi kuliko hawa wasomi na wanaojua sana.
Haina mantiki kuunda tume na kamati ifanye tathmini juu ya jambo ambalo kwa akili za kawaida lina manufaa kwa wananchi.
Si sapoti CCM wala chama chochote Tz, lakini nasapoti uongozi wa kidikteta hususan afrika ambako watu bado wanahitaji kulazimishwa, kusukumwa, kuwekewa mipaka nk ili waendele na wafanye kazi.
Narudia sisapoti siasa za nchini kwangu usije na povu la jazba hapa, nimetoka Tz kitambo sana.
 
Sasa Kama umefanikiwa kuyaona kwanini usiinform serikali ikaenda kuyachukua
Serikali Gani. Hii hii aliyoiasisi yeye au. Aliharibu kila kitu mpaka mfumo wa mahakama akawa anafunga kila anayejisikia eti ni fisadi. Ile mahama ya mafisadi si unaona ilipotea baada yeye kufa. Mana alianzisha kufunga akina makamba tu ambao alidhani ni threat kwake mana alikuwa hajiamini in jokate's voice
 
Africa Ina madictor karibu kila nchi na hawataki kutoka madarakani kabisa hata wakishindwa. Mfano kagame, mseveni nk lakini ni nchi Gani ya afrika Ina maendeleo zaidi ya afrika kusini yenye mfumo mazuri wa demokrasia?
 
Soma komenti za ngedere wake uone kazi.πŸ‘‡
 
Waeleze hao punda.
 
Africa Ina madictor karibu kila nchi na hawataki kutoka madarakani kabisa hata wakishindwa. Mfano kagame, mseveni nk lakini ni nchi Gani ya afrika Ina maendeleo zaidi ya afrika kusini yenye mfumo mazuri wa demokrasia?
Lakini tunaona Rwanda na Uganda angalau wako vizuri.
Hakuna mambo ya ovyo na ya kipuuzi, wanashindwa kuwa nyonya na ndio maana wanapandikiza chuki juu yao.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini Museveni na Kagame wana nia ovu na chafu juu ya nchi zao.
Afrika kusini siwezi zungumzia sana kama ulisoma historia utaelewa vizuri tu nani kaijenga ile nchi, hata majirani zetu kenya kama wangekua na subra kidogo na wao wangekua kama Afrika kusini, licha ya hivyo nimeishi afrika kusini miaka mi 5 najua siasa zao A to Z, ANC wameshindwa pakubwa sana Afrika kusini lakini bado wanasafiria maendeleo yaliyofanywa na wakoloni.
 
We jamaa mwache jiwe apumzike anakostahili,
 
Mmh usikute alikugusa kwenye kiini cha makalio..πŸ™‚
 
WATanzania wengi Wana akili ndogo sana ,ndio maana wataendelea kuchagua sisiemu miaka na miaka na kuifanya nchi kuwa ufalme wa watu wachache
 
Hata wasomi wengi wa nchi hii na mifumo yake yake ya elimuni watu wa ovyo wenye uelewa mdogo sana
 
Duuh
 
Umesahau na zile hadaa za kwenda kanisani kisha kuchukuliwa na ma camera akijifanya bonge la mnyeyekuvu na mcha Mungu. Akageuza makanisani ni sehemu ya kutolea hotuba za kisiasa. Cha ajabu akawa anasema tusichanganye dini na siasa!
 
Jiwe alikuwa alikuwa na uwezo mdogo sana kiakili. Ili kuficha upumbavu wake alilazimika kujifaragua hadharani aonekane much know. Lkn kubwa zaidi alisumbuliwa na ushamba & ulimbukeni.

Watato wa mjini wakaona isiwe taabu. Wakamfyekelea mbali.
Kama ni kweli ndio walifyekelea mbali lile dude, watawale nchi hii milele.
 
Weka CV yako hapa alafu tulinganishe,sisi tutajua nani ana akili kati yako na Magufuli.Wenye akili huwa wanafanya mambo makubwa kwenye mataifa yao!
 
Lema inamhusu saana hii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww ni mmoja wa wale wasiojua na wanajionyesha kujua..... alafu ni maskini wa akili ndio atapambana na mtu aliekufa

watu kama nyie kulawitiwa inakuwaga kitu ya kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…